proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 7,616
- 11,854
Wengi wanafanya mambo kwa hisia na si akili.wanawake wengine wanapenda kujiamulia mambo kijinga jinga
Anatamba san mitaa ya FB saiviMwenye handle ya waziri gwajima please
Tuliza ngera bidada!! Wanaume hawana tatizo na majukumu yao kwa wake zao, tatizo ni nyie feminists mkipata vijisent mnaanza kutafuta uhuru wenu!! NB: Hakuna kiumbe mbinafsi kama mwanamke kweny hii dunia.....Ila wanaume mkijazana ujinga kuhusu wanawake sio ushetani sio!!
Wacha we!Tiliza ngera bidada!! Wanaume hawana tatizo na majukumu yao kwa wake zao, tatizo ni nyie feminists mkipata vijisent mnaanza kutafuta uhuru wenu!! NB: Hakuna kiumbe mbinafsi kama mwanamke kweny hii dunia.....
Sio kila ujumbe ni kwaajili yako. Ilikuwa event ya kitchen party gala, mbona hukuhudhuria kama ilikuhusu?Ameongea nini cha maana hapo sasa?!
Its too late.sawa mama mkwe
nikabidhi yule mrembo wetu asije kudondokea kwenye mikono ya wapumbavu
Ashaposwa?Its too late.
AmeshaolewaAshaposwa?
Kila la kheri.Ameshaolewa
Umepigilia msumari bro!Tuliza ngera bidada!! Wanaume hawana tatizo na majukumu yao kwa wake zao, tatizo ni nyie feminists mkipata vijisent mnaanza kutafuta uhuru wenu!! NB: Hakuna kiumbe mbinafsi kama mwanamke kweny hii dunia.....
Pamoja mkuuUmepigilia msumari bro!
Oya dogo Poor Brain msimpoteze ndio kwanza anaenda jktPoor Brain dronedrake @,mbaga jr
Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo.
Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako?
NB: Serikali Ithibiti Hawa Motivational Speakers Wana leta Destruction Na Mgawanyiko Mkubwa Wa Kijinsia Na Ustawi Wa Familia
Cc @
Aione ephen_Sikutegemea kusikia haya kwa mtu kama Haika Lawere. Niliona smart na strong. Na vile ambavyo anapenda sisi walimwengu tujue mambo yake yamenyooka kupitia post zake za mitandaoni.
Ex Husband kuoa, tena mtoto wa mujini kama yeye, inaonekana imekuwa ngumi ya chembe kwake. anaanza kuwadanganya wenzake.
Binafsi sijui sababu hasa ya kuachana na mumewe...siwezi kumuhukumu. Sijui lolote. Ila alichosema sio sawa kabisa.
Experience yake sio universal...kila mtu anachangamoto zake na hazijawahi kuwa unique. wakati mwingine anagombania mali, mwingine anapambana watoto wasomeshwe.
mwingine anapambana mumewe an mke wake arudi warudiane. Kila mtu anapimwa kivyake.
Yeye anatumiaje mali kama kigezo? Namuonea huruma...maana najua pia, hatujakamilika. Ila mjuaji kama yeye ajipange na kupigwa matukio kama hayo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣