KateMiddleton
JF-Expert Member
- Mar 15, 2021
- 4,132
- 5,108
Lini tena jmnmnatuibia nyie wezi
Lini tena jmnmnatuibia nyie wezi
Labda wafiche mali za katikati ya mapajaHizo mali za kuficha zenyewe wangapi wanazo sasa??😀
Huyu ashakua tapeli , na kama kaolewa mumwe wake kapigwaMkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo.
Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako?
NB: Serikali Ithibiti Hawa Motivational Speakers Wana leta Destruction Na Mgawanyiko Mkubwa Wa Kijinsia Na Ustawi Wa Familia
Cc @
Sikujua huyo dada ana changamoto katika ndoa. Hebu tupe habari zaidi.Sikutegemea kusikia haya kwa mtu kama Haika Lawere. Niliona smart na strong. Na vile ambavyo anapenda sisi walimwengu tujue mambo yake yamenyooka kupitia post zake za mitandaoni.
Ex Husband kuoa, tena mtoto wa mujini kama yeye, inaonekana imekuwa ngumi ya chembe kwake. anaanza kuwadanganya wenzake.
Binafsi sijui sababu hasa ya kuachana na mumewe...siwezi kumuhukumu. Sijui lolote. Ila alichosema sio sawa kabisa.
Experience yake sio universal...kila mtu anachangamoto zake na hazijawahi kuwa unique. wakati mwingine anagombania mali, mwingine anapambana watoto wasomeshwe.
mwingine anapambana mumewe an mke wake arudi warudiane. Kila mtu anapimwa kivyake.
Yeye anatumiaje mali kama kigezo? Namuonea huruma...maana najua pia, hatujakamilika. Ila mjuaji kama yeye ajipange na kupigwa matukio kama hayo 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Sikujua huyo dada ana changamoto katika ndoa. Hebu tupe habari zaidi.
Ila hakutumia busara kulitangaza sanata lake kwa namna alivyo washauri wanawake wengine.
Inasikitisha….yule muraa walitengana?Mitandaoni Ex Husband aliwahi kuweka bandiko kuhusu yeye na mkewe.
Kabla ya kutulia akatangaza ndoa...tena nasikia ina budget ya kushiba.....
Nafikiri imevuruga fikra kidogo ndio maana Haika alisema vitu vigumu kweli kweli huko Dodoma....
Hisia ikizidi akili ya kawaida lazima mtu atakuwa na maamuzi ya kijingajinga tu wakati wote. Mara nyingi wanawake hufanya maamuzi au kutoa maamuzi Kwa kuzingatia wakati uliopoMimi huwa nashindwa kuelewa inakuaje mtu aliyekuwezesha kakusomesha tena ulaya, kakupa mtaji wa biashara inakuaje umuone ni tapeli? Kama alikuwa anajiweza mbona hizo Mali haukupata kabla ya ndoa? Sasa hapo nani ni tapeli
Mkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere jana kwenye Kitchen Party Gala amewafundisha Wanawake kuficha mali zao Wanaume wao wasizijue kwa sababu wanaume ni matapeli hivyo wakizijua watawapeli mali hizo. Je hii inakubalika, Na Wanaume wakificha mali zao hali itakuwaje, nini maoni yako? NB: Serikali Ithibiti Hawa Motivational Speakers Wana leta Destruction Na Mgawanyiko Mkubwa Wa Kijinsia Na Ustawi Wa Familia Cc @
Hawa wanawake wanaharakati ndo wanatengeneza mabinti wa hovyoMbaya zaidi haina mshindi. Watu wanaishia kuumizana tu
Sio ushauri mzuri, katika ndoa hakuna kinachofichwa. Mmeshakuwa mwili mmoja unaficha nini? Anaeficha hana upendo wa dhati kwa mwenzake.Wote wezi tu
Inategemea uko na mwenza wa namna gani, maisha jinsi yalivyo hutakiwi kuishi kwa kukaririSio ushauri mzuri, katika ndoa hakuna kinachofichwa. Mmeshakuwa mwili mmoja unaficha nini? Anaeficha hana upendo wa dhati kwa mwenzake.