Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,958
- 183,574
Na anapoficha?Mwanaume anapoacha hela ya matumizi unafikiri mwanamke wake hafaidiki hapo
Na anapoficha?Mwanaume anapoacha hela ya matumizi unafikiri mwanamke wake hafaidiki hapo
Ukute hiyo Mbezi Garden Hotel kaipata kwa "kumpiga" mumeMkurugenzi wa Mbezi Garden Hotel Bi Haika Lawere
Haika ana hasira za kuachwa.Hasira za EX bhana.
sasa hapo anavosema hvo, yaan mpo kwenye ndoa afu mke ufiche mali zako huo si ubinafs na kutokuwa tiari kujenga pamoja.
kama na wanaume tukiamua kuficha mali tunazopata ndoani, sijui itakuwa na maana gan hata sielewi.
Inheritance.Ukute hiyo Mbezi Garden Hotel kaipata kwa "kumpiga" mume
Mbona jamaa ana profile kubwa sana huyo Phares? Sidhani kama alikuwa anategemea fedha ya Haika....Jamaa si Engineer na pia alikuwa anafanya kazi bandarini na pia ana kampuni za ujenzi.Phares sasa hivi ana mkwanja kuliko Haika, alimuacha wakati anajitafuta
Nilichogundua hapa wengi wana koment kwa kuona tuu hii videoMbona jamaa ana profile kubwa sana huyo Phares? Sidhani kama alikuwa anategemea fedha ya Haika....Jamaa si Engineer na pia alikuwa anafanya kazi bandarini na pia ana kampuni za ujenzi.
kaachwa huyo hasira anazileta hadharan zimemzidi kina.Haika ana hasira za kuachwa.
Utafichaje mali asiee? CRDB wamesema kuna watu wameweka pesa zaidi ya mabilioni hawajulikani walipo.
Ukipita sehemu unakuta pagale lina zaidi ya miaka 10 hakuna mwenyewe anayekuja site ,mali zinapotea kwa kuficha ndugu/wenza.
Hajielewi ,hajui binaadamu muda wowote unakata MOTO.kaachwa huyo hasira anazileta hadharan zimemzidi kina.
Kuficha mali Hiyo ni hasara ya nguvu.
Islael mda wote yupo lindo, mda wowo ananyakua afu ukute umejenga tu hotel family haina habari.
Watafaidika wengne badala ya ndugu au watoto. Kisa ubinafs
Ukitegemea pia nae kalelewa muda mwingi na mama yake bila baba wanaiga tabia za ovyo ovyoHuyu maza mme wake kamuacha..
Mmewake kaoa binti mdogo sasa hivi anaweweseka.
Ujuaji huuhuu ndio chanzo cha kuachika
Sas anataka kuwaponza na wenzake
Wanategemea mali za wake zao😅😅😅.Wametokwa povu si kidogo🤣
Wanawake wanavyovimba utadhani wanajiweza. Huyo haikalawere mwishowe atakuwa na kivulana kinachomchapa nao kumpunguza genye japo kwa siri. Thats the end of Nyodo za kikeSaivi duniani kuna vita kubwa san wanawake dhidi ya wanaume!! Hii ni kaz kubwa inayofanywa na devil worshipers!! Wanaume tuishi na hawa viumbe kimkakati san.
Kama alipata mume goigoi mfujaji hapo ni dhahiri kabisa.Mimi naaamini kuna sisita wangu alikuwa vizuri Sana kiuchumi Kabila hajapata Mume lakini saizi ameshuka Sana!!na baadhi ya.mali NI ya wote na mume wake wakati alimkuta vizuri Sana.
Lazma umpige Ban ya mazimaMwanamme anayemruhusu mke wake kwenda kwa hao wapumbavu ana shida nae.. mke wangu aliaanza kuwasikiliza nikamuona anambadiliko mabaya sana..
Nilichukua hatua
Mwanaume timamu hawezi kudumu na gubegube lenye mdomo mchafu na ego ya aina hiyo.Huyu maza mme wake kamuacha..
Mmewake kaoa binti mdogo sasa hivi anaweweseka.
Ujuaji huuhuu ndio chanzo cha kuachika
Sas anataka kuwaponza na wenzake
Mwanamke ni looser at most cases. Sababu value yake inazidi kushuka kadri umri unavyoenda.Mbaya zaidi haina mshindi. Watu wanaishia kuumizana tu
Director of IT wa bandari anawezaje kuwa marioo?Huyu shangazi atakuwa aliangukia kwa marioo, akamchezea shere!
Kaongea kwa hisia sana! 😊