Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

Kama haujavichunguza sawasawa, hivyo vilio si vya kufichiwa mali tu, bali ni vilio vya kuvunjiwa uaminifu pia.

Hakuna mwanaume anapenda mke wake apokee 'mahubiri' kabila hiyo, hata kama hana mali.
Uaminifu upi labda
Tukizungumzia uaminifu wanaume mnauweza kweli?..

Poleni mhubiri wa sasa naona kawachoma wengi🤣🤣
 
Kicheche kimezeeka, kimeachwa, kimechachawa

Na bado
 
Wanajitia tu ufahamu hapa. Lakinj ipo wazi kwamba wanawake wengi wanapoteza mwelekeo baada ya kuolewa, kama ni kazi anaachishwa, biashara anaacha kufanya. Na kama mqjukumu ndo anaachiwa yeye mwenyewe.
 
Maisha yana uongo sana (illusion). Wanawake wanaopoteza uelekeo baada ya kuolewa lkn hao hao wanatafuta ndoa Kwa kiu kubwa umri ukiwa umeenda. Wanawake mjifunze kutumia mantiki kuliko hisia ktk maamuzi. Unaanzaje kuacha /kuachishwa kazi au biashara?
 
Kwani Wanawake wanamali gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…