Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

Hawa watu hawakutaka kuwaingiza watoto kwenye migogoro yao binafsi, ndio maana watoto wamenyooka.
Ingekua wengine, watoto na future yao ingeishia hapo.
Kunyooka umewapima kwa kutumia nini? Akili za darasani na akili ya kuendesha jamii na familia ni vitu viwili tofauti,huwezi jua kupitia wazazi wao na maisha yao ya ndoa wao wamejifunza nini na watoto walio shuhudia wazazi wao wakitalikiana au kulelewa na mzazi mmoja wengi wao si mabalozi wazuri wa ndoa.

IQ wapo vizuri il mentally sizani kama wapo vizuri,kutalikiana kwa wazazi huwaadhiri sana watoto japo hawasemi ila utaona kupitia makuzi yao na maisha yao ya kijamii wao na familia zao.
 
Huwenda babaake alimtapeli mamaake pia.
Wanawake wengi siku hizi wamekuwa na matarajio makubwa Sana na wababa wanaokuwa nao sasa mambo ya kuingiza yakiisha basi mwanaume anakuwa tapeli
 
Hili ndo suala la msingi
Ss jiulize why wanaume nchi nzima mmepanic
Wanaume wamepaniki kwasababu Mali ulizonazo zimetokana na nguvu zake alafu huyo huyo aliyekuwezesha umfiche huo si ndio wizi wenyewe jaribu kuwa kwenye position ya huyo mwanaume ndio utakuja kuelewa huyo Mali zake kapata ndani ya ndoa alafu anatamba kama wewe ni strong woman pata Mali kabla ya ndoa
 
Huwenda babaake alimtapeli mamaake pia.
Wanawake wengi siku hizi wamekuwa na matarajio makubwa Sana na wababa wanaokuwa nao sasa mambo ya kuingiza yakiisha basi mwanaume anakuwa tapeli
Mimi huwa nashindwa kuelewa inakuaje mtu aliyekuwezesha kakusomesha tena ulaya, kakupa mtaji wa biashara inakuaje umuone ni tapeli? Kama alikuwa anajiweza mbona hizo Mali haukupata kabla ya ndoa? Sasa hapo nani ni tapeli
 
Haika ndio tapeli mkuu😂😂😂
 
Mali zake au za marehemu baba yake.
 
Sio zote
Kaa kweli zako mzuie😃😃
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…