Haika Lawere: Wanawake ficheni Mali Zenu, Wanaume Ni Matapeli!

Maumivu ya kuachwa baada ya kuchepukana kufumaniwa, hii inaleta taswira mbaya sana kwetu wanawake ila mimi binafsi mume wangu anajua kila kitu changu mpaka password.
 
Sasa ukisema unatafuta mali zako au unaficha mali zako wakati mmepanga kujenga familia na mwanaume hio inakuwa kama si ukichaa ni nini? Badala mjenge generational wealth we unawaza kutengeneza mali zako binafsi ili iweje. Maana ya kuwa mwili mmoja ni kitu gani?
Wanaume nyie waoga sana. Hapa mmepata cha kuongea mtaongea mwaka mzima. Ila bidada yupo sahihi kabisa, waliomuelewa watamuelewa na wasiomuelewa sio lazima wamuelewe.
 
Maumivu ya kuachwa baada ya kuchepukana kufumaniwa, hii inaleta taswira mbaya sana kwetu wanawake ila mimi binafsi mume wangu anajua kila kitu changu mpaka password.
You are being a wife to the man na lazma akupende sana maana wanawake wasio na hila na waaminifu ni very rare. Mkishaona everything becomes centralized.
 
🤣🤣🤣 As if ninyi mnaweka wazi kila kitu kwa wake zenu
 
🤣🤣🤣 As if ninyi mnaweka wazi kila kitu kwa wake zenu
Mwanaume anaweza kukuficha lakini still akahudumia vizuri nyumbani ikiwemo kulipa ada za watoto pamoja na matumizi ya mkewe, na mwanaume akikuficha inamaana Kuna kitu kakiona juu yako wanaume huwa tuna akili kuliko mnavyotuchukulia ndio maana tunajua mwanamke yupi wa kuoa na yupi wakugonga na kusepa ila mwanamke anaweza kuwa anafanya kazi lakini usione hela yake hata kidogo ndio ubinafsi wenyewe huo kama huyo mama
 
Kwa hiyo wanawake hawana akili? Hata mwanamke ukiona anachepusha hela na kujenga uchumi wake kwa siri ni wazi kuna kitu ameona hakiko sawa kwenye hiyo ndoa. Kwani hawapo wanaojenga uchumi wa familia pamoja na waume zao? Wanawake wangapi tumewaona wanapoondokewa na waume zao wanaporwa mali na familia ya upande wa kiumeni? Wanawake kama hao wanakuwa waliweka imani kwa waume zao bahati mbaya yalipotokea ya kutokea wanajikuta hawana kitu.
 
Baba levo alikuwa sahihi, maoongamano na makusanyiko ya wanawake hufunzana mwanaume ni kiumbe mbaya.

Umakuta mmoja alitapeliwa yeye huko, basi ataaminisha wanaume wote ni matapeli. Yaani anaweza kufanya mwanaume ambaye alichuma.mali na kushirikiana na mkewe kwa uaminifu mkubwa aonekame hana maana
 
Ndio maana nimesema value yako unaipimaje
Ukiwa na 18+ mpaka 27 years, kila siku unatongozwa si chini ya mara 5, regardless ni msikitini, sokoni, chuo au kazini.
Ukigonga 35 Plus value, i mean market value inaondoka na Gen z wanakuja, unabaki mshauri tu, hata ukiena Bar kunywa moja hakuna anayekuja kukaa na wewe!
Value kama binadamu ipo pale pale lakini huzingatiwi ndio maana mtume Paulo alisema "Fahari ya Vijana ni nguvu zao"
Huyo ana hasira ya kuachwa na mumewe, mumewe ni director wa IT na ni engineer
And prominent figure
 
Bwana wewe nilishakujibu unarudia kitu kilekile kama kasuku. Btw sio 30 tena ni 35 😁😁 mbombo ngafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…