Joel
JF-Expert Member
- Sep 1, 2007
- 1,031
- 561
...sijui watu wengine huwa wanafikiria nini kwa kweli.Kucheka pasipo kicheko ni ishara.
hizo ni dalili za ushoga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
...sijui watu wengine huwa wanafikiria nini kwa kweli.Kucheka pasipo kicheko ni ishara.
wewe ndiye muhuni unayejipendekeza kwa utawala hao c wahuni wana haki ya kuonesha hisia zao hawajatumwa na mtu yoyote na huyo uliyemuonesha mshare kweli ni mzungu sasa dhambi iko wapi kushirikiana na Wadai haki nina wasi wasi kama kweli weye unaishi marekaniView attachment 2198682Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati
Na;
Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)
Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani pindi Rais Samia akiendelea na Ziara yake nchini humo, ukweli ni kwamba kikundi hicho ni vijana wahuni (wasiozidi watu 15) wasio kuwa na ajira ambao wengi wao siyo Watanzania ambao wamelipwa na Wanaharakati na wapinzani waliopo nchini Tanzania ili kuchafua taswira ya nchi na serikali katika uso wa Dunia.
Ikumbukwe kuwa wakati wahuni hao wanafanya maandamo uchwara, Rais alikuwa akiwahutubia Watanzania waishio Marekani na kujadiliana nao juu ya masuala mbalimbali kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taifa letu huku wahuni hao wakiwa nje ya jengo wakipaza sauti zao ili kuwaridhisha wanaharakati na wapinzani ambao wamewapa ujira wa siku kwa ajili ya upuuzi huo.
Tanzania Diaspora in USA tunatambua jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya siasa nchini Tanzania ikiwemo vyama vya upinzani kupitia Kikosi kazi cha Maridhiano ya Kisiasa kilichoundwa na Serikali kwa ajili ya kuleta muafaka wa kitaifa juu ya masuala mahususi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kuendelea kufanikisha maendeleo ya Taifa.
Hivyo, hatukubali kuona ajenda ya chama kimoja cha kisiasa cha upinzani ambacho kinashirikiana na wanaharakati wake kuzima Ndoto za viongozi wetu kwa maslahi yao ya kisiasa kuliko maslahi ya Taifa.
Tuwakatae mamluki!
Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿
Hao ni wauza madawa ya kulevya,serikali iwatolee taarifa kwa mamlaka za marekaniView attachment 2198682Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati
Na;
Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)
Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani pindi Rais Samia akiendelea na Ziara yake nchini humo, ukweli ni kwamba kikundi hicho ni vijana wahuni (wasiozidi watu 15) wasio kuwa na ajira ambao wengi wao siyo Watanzania ambao wamelipwa na Wanaharakati na wapinzani waliopo nchini Tanzania ili kuchafua taswira ya nchi na serikali katika uso wa Dunia.
Ikumbukwe kuwa wakati wahuni hao wanafanya maandamo uchwara, Rais alikuwa akiwahutubia Watanzania waishio Marekani na kujadiliana nao juu ya masuala mbalimbali kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taifa letu huku wahuni hao wakiwa nje ya jengo wakipaza sauti zao ili kuwaridhisha wanaharakati na wapinzani ambao wamewapa ujira wa siku kwa ajili ya upuuzi huo.
Tanzania Diaspora in USA tunatambua jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya siasa nchini Tanzania ikiwemo vyama vya upinzani kupitia Kikosi kazi cha Maridhiano ya Kisiasa kilichoundwa na Serikali kwa ajili ya kuleta muafaka wa kitaifa juu ya masuala mahususi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kuendelea kufanikisha maendeleo ya Taifa.
Hivyo, hatukubali kuona ajenda ya chama kimoja cha kisiasa cha upinzani ambacho kinashirikiana na wanaharakati wake kuzima Ndoto za viongozi wetu kwa maslahi yao ya kisiasa kuliko maslahi ya Taifa.
Tuwakatae mamluki!
Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿
Hahaaaaa.........😄😅Sasa Kama ni kundi dogo la wahuni,kinachokufanya ubridi/kuvuja Damu huko chini kabla ya tarehe zako ni nini?
Sasa kama siyo Watanzania tunahangaika nao wa kazi ganiView attachment 2198682Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati
Na;
Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)
Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani pindi Rais Samia akiendelea na Ziara yake nchini humo, ukweli ni kwamba kikundi hicho ni vijana wahuni (wasiozidi watu 15) wasio kuwa na ajira ambao wengi wao siyo Watanzania ambao wamelipwa na Wanaharakati na wapinzani waliopo nchini Tanzania ili kuchafua taswira ya nchi na serikali katika uso wa Dunia.
Ikumbukwe kuwa wakati wahuni hao wanafanya maandamo uchwara, Rais alikuwa akiwahutubia Watanzania waishio Marekani na kujadiliana nao juu ya masuala mbalimbali kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taifa letu huku wahuni hao wakiwa nje ya jengo wakipaza sauti zao ili kuwaridhisha wanaharakati na wapinzani ambao wamewapa ujira wa siku kwa ajili ya upuuzi huo.
Tanzania Diaspora in USA tunatambua jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya siasa nchini Tanzania ikiwemo vyama vya upinzani kupitia Kikosi kazi cha Maridhiano ya Kisiasa kilichoundwa na Serikali kwa ajili ya kuleta muafaka wa kitaifa juu ya masuala mahususi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kuendelea kufanikisha maendeleo ya Taifa.
Hivyo, hatukubali kuona ajenda ya chama kimoja cha kisiasa cha upinzani ambacho kinashirikiana na wanaharakati wake kuzima Ndoto za viongozi wetu kwa maslahi yao ya kisiasa kuliko maslahi ya Taifa.
Tuwakatae mamluki!
Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241]
View attachment 2198682Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati
Na;
Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)
Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani pindi Rais Samia akiendelea na Ziara yake nchini humo, ukweli ni kwamba kikundi hicho ni vijana wahuni (wasiozidi watu 15) wasio kuwa na ajira ambao wengi wao siyo Watanzania ambao wamelipwa na Wanaharakati na wapinzani waliopo nchini Tanzania ili kuchafua taswira ya nchi na serikali katika uso wa Dunia.
Ikumbukwe kuwa wakati wahuni hao wanafanya maandamo uchwara, Rais alikuwa akiwahutubia Watanzania waishio Marekani na kujadiliana nao juu ya masuala mbalimbali kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taifa letu huku wahuni hao wakiwa nje ya jengo wakipaza sauti zao ili kuwaridhisha wanaharakati na wapinzani ambao wamewapa ujira wa siku kwa ajili ya upuuzi huo.
Tanzania Diaspora in USA tunatambua jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya siasa nchini Tanzania ikiwemo vyama vya upinzani kupitia Kikosi kazi cha Maridhiano ya Kisiasa kilichoundwa na Serikali kwa ajili ya kuleta muafaka wa kitaifa juu ya masuala mahususi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kuendelea kufanikisha maendeleo ya Taifa.
Hivyo, hatukubali kuona ajenda ya chama kimoja cha kisiasa cha upinzani ambacho kinashirikiana na wanaharakati wake kuzima Ndoto za viongozi wetu kwa maslahi yao ya kisiasa kuliko maslahi ya Taifa.
Tuwakatae mamluki!
Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241]
Wakati Mama akiwa Marekani kipindi kile Mange ameenda kumpokea, pia walikuwepo wazungu, je walikuwa wanatumika au walikuwa wahuni? Acha upimbi weweView attachment 2198682Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati
Na;
Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)
Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani pindi Rais Samia akiendelea na Ziara yake nchini humo, ukweli ni kwamba kikundi hicho ni vijana wahuni (wasiozidi watu 15) wasio kuwa na ajira ambao wengi wao siyo Watanzania ambao wamelipwa na Wanaharakati na wapinzani waliopo nchini Tanzania ili kuchafua taswira ya nchi na serikali katika uso wa Dunia.
Ikumbukwe kuwa wakati wahuni hao wanafanya maandamo uchwara, Rais alikuwa akiwahutubia Watanzania waishio Marekani na kujadiliana nao juu ya masuala mbalimbali kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taifa letu huku wahuni hao wakiwa nje ya jengo wakipaza sauti zao ili kuwaridhisha wanaharakati na wapinzani ambao wamewapa ujira wa siku kwa ajili ya upuuzi huo.
Tanzania Diaspora in USA tunatambua jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya siasa nchini Tanzania ikiwemo vyama vya upinzani kupitia Kikosi kazi cha Maridhiano ya Kisiasa kilichoundwa na Serikali kwa ajili ya kuleta muafaka wa kitaifa juu ya masuala mahususi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kuendelea kufanikisha maendeleo ya Taifa.
Hivyo, hatukubali kuona ajenda ya chama kimoja cha kisiasa cha upinzani ambacho kinashirikiana na wanaharakati wake kuzima Ndoto za viongozi wetu kwa maslahi yao ya kisiasa kuliko maslahi ya Taifa.
Tuwakatae mamluki!
Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241]
Hana ubavu wa kutimua yeyote kule.BOSS was tiss anapaswa kufutwa kazi alipaswa kuiona mapema wangeandaa watu wakuwatimua
Monica MgeniView attachment 2198682Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati
Na;
Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)
Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani pindi Rais Samia akiendelea na Ziara yake nchini humo, ukweli ni kwamba kikundi hicho ni vijana wahuni (wasiozidi watu 15) wasio kuwa na ajira ambao wengi wao siyo Watanzania ambao wamelipwa na Wanaharakati na wapinzani waliopo nchini Tanzania ili kuchafua taswira ya nchi na serikali katika uso wa Dunia.
Ikumbukwe kuwa wakati wahuni hao wanafanya maandamo uchwara, Rais alikuwa akiwahutubia Watanzania waishio Marekani na kujadiliana nao juu ya masuala mbalimbali kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taifa letu huku wahuni hao wakiwa nje ya jengo wakipaza sauti zao ili kuwaridhisha wanaharakati na wapinzani ambao wamewapa ujira wa siku kwa ajili ya upuuzi huo.
Tanzania Diaspora in USA tunatambua jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya siasa nchini Tanzania ikiwemo vyama vya upinzani kupitia Kikosi kazi cha Maridhiano ya Kisiasa kilichoundwa na Serikali kwa ajili ya kuleta muafaka wa kitaifa juu ya masuala mahususi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kuendelea kufanikisha maendeleo ya Taifa.
Hivyo, hatukubali kuona ajenda ya chama kimoja cha kisiasa cha upinzani ambacho kinashirikiana na wanaharakati wake kuzima Ndoto za viongozi wetu kwa maslahi yao ya kisiasa kuliko maslahi ya Taifa.
Tuwakatae mamluki!
Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿
Ww uliyeleta mada unataka kutuambia kwamba kudai katiba ni uhuni,hv kwa akili yako unadhani hata hayo anayoyafanya Samia kule Marekani yana faida kwa watanzania hata kama anatafuta hela kazi bure maana hana uwezo thabiti wa kusimamia mali za Umma wa watanzania maana SAG amesema Kuna wizi mkubwa na msimamizi na mlinzi namba moja aliyekabidhiwa usukani yeye yuko Marekani anacheza FILAMU na huku nyuma Wahuni wanagawana fedha za walipa kodi,Hii nchi basi tu.Halafu mjinga mmoja anasema kudai katiba ni uhuni kisa walikuwa watu kumi na tano,mm nilidhani yuko mmoja,mbona ni wengi sana hao.View attachment 2198682Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati
Na;
Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)
Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani pindi Rais Samia akiendelea na Ziara yake nchini humo, ukweli ni kwamba kikundi hicho ni vijana wahuni (wasiozidi watu 15) wasio kuwa na ajira ambao wengi wao siyo Watanzania ambao wamelipwa na Wanaharakati na wapinzani waliopo nchini Tanzania ili kuchafua taswira ya nchi na serikali katika uso wa Dunia.
Ikumbukwe kuwa wakati wahuni hao wanafanya maandamo uchwara, Rais alikuwa akiwahutubia Watanzania waishio Marekani na kujadiliana nao juu ya masuala mbalimbali kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taifa letu huku wahuni hao wakiwa nje ya jengo wakipaza sauti zao ili kuwaridhisha wanaharakati na wapinzani ambao wamewapa ujira wa siku kwa ajili ya upuuzi huo.
Tanzania Diaspora in USA tunatambua jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya siasa nchini Tanzania ikiwemo vyama vya upinzani kupitia Kikosi kazi cha Maridhiano ya Kisiasa kilichoundwa na Serikali kwa ajili ya kuleta muafaka wa kitaifa juu ya masuala mahususi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kuendelea kufanikisha maendeleo ya Taifa.
Hivyo, hatukubali kuona ajenda ya chama kimoja cha kisiasa cha upinzani ambacho kinashirikiana na wanaharakati wake kuzima Ndoto za viongozi wetu kwa maslahi yao ya kisiasa kuliko maslahi ya Taifa.
Tuwakatae mamluki!
Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿
Kule siyo Tz, wenzetu wanalinda sana uhuru wa kutoa maoni.BOSS was tiss anapaswa kufutwa kazi alipaswa kuiona mapema wangeandaa watu wakuwatimua
Hivi Katiba mpya itatengenezwa na Wamarekani au Watanzania? Hao walioandamana wamesema hiyo Katiba iundwe huko Marekani kisha iletwe kutumika Tanzania? Mbona mna mawazo ya kizuzu hivi huku mkijiita Chama Tawala?View attachment 2198682Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati
Na;
Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)
Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani pindi Rais Samia akiendelea na Ziara yake nchini humo, ukweli ni kwamba kikundi hicho ni vijana wahuni (wasiozidi watu 15) wasio kuwa na ajira ambao wengi wao siyo Watanzania ambao wamelipwa na Wanaharakati na wapinzani waliopo nchini Tanzania ili kuchafua taswira ya nchi na serikali katika uso wa Dunia.
Ikumbukwe kuwa wakati wahuni hao wanafanya maandamo uchwara, Rais alikuwa akiwahutubia Watanzania waishio Marekani na kujadiliana nao juu ya masuala mbalimbali kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taifa letu huku wahuni hao wakiwa nje ya jengo wakipaza sauti zao ili kuwaridhisha wanaharakati na wapinzani ambao wamewapa ujira wa siku kwa ajili ya upuuzi huo.
Tanzania Diaspora in USA tunatambua jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya siasa nchini Tanzania ikiwemo vyama vya upinzani kupitia Kikosi kazi cha Maridhiano ya Kisiasa kilichoundwa na Serikali kwa ajili ya kuleta muafaka wa kitaifa juu ya masuala mahususi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kuendelea kufanikisha maendeleo ya Taifa.
Hivyo, hatukubali kuona ajenda ya chama kimoja cha kisiasa cha upinzani ambacho kinashirikiana na wanaharakati wake kuzima Ndoto za viongozi wetu kwa maslahi yao ya kisiasa kuliko maslahi ya Taifa.
Tuwakatae mamluki!
Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241]
Watia huruma sana. Huzuni yako yatokana na kuumiss udhalimu uliyokuwa umeuzoea.Hao ni wauza madawa ya kulevya,serikali iwatolee taarifa kwa mamlaka za marekani