Haikubaliki, Diaspora wanatumika kisiasa na wanaharakati

Munaowaita mamuluki ndio hao mnaowatembezea kibaba muweze kuishi.
 
View attachment 2198682Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati

Na;

Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)

Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani pindi Rais Samia akiendelea na Ziara yake nchini humo, ukweli ni kwamba kikundi hicho ni vijana wahuni (wasiozidi watu 15) wasio kuwa na ajira ambao wengi wao siyo Watanzania ambao wamelipwa na Wanaharakati na wapinzani waliopo nchini Tanzania ili kuchafua taswira ya nchi na serikali katika uso wa Dunia.

Ikumbukwe kuwa wakati wahuni hao wanafanya maandamo uchwara, Rais alikuwa akiwahutubia Watanzania waishio Marekani na kujadiliana nao juu ya masuala mbalimbali kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taifa letu huku wahuni hao wakiwa nje ya jengo wakipaza sauti zao ili kuwaridhisha wanaharakati na wapinzani ambao wamewapa ujira wa siku kwa ajili ya upuuzi huo.

Tanzania Diaspora in USA tunatambua jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya siasa nchini Tanzania ikiwemo vyama vya upinzani kupitia Kikosi kazi cha Maridhiano ya Kisiasa kilichoundwa na Serikali kwa ajili ya kuleta muafaka wa kitaifa juu ya masuala mahususi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kuendelea kufanikisha maendeleo ya Taifa.

Hivyo, hatukubali kuona ajenda ya chama kimoja cha kisiasa cha upinzani ambacho kinashirikiana na wanaharakati wake kuzima Ndoto za viongozi wetu kwa maslahi yao ya kisiasa kuliko maslahi ya Taifa.

Tuwakatae mamluki!

Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿
Tunakukataa wewe unaeminya haki ya kikatiba ya wananchi, hapo wanatimiza haki yqko ya kikatiba, acha uhuni
 
Sasa utawashinda vipi hawa wezi kwa njia zao hizi? Kama unavyoona hapo, wanashirkiana na jeshi na Tume. Na hapo kutakuwa na TISS pia. Yaani Watanzania tunafanyiwa uhuni sana.

Ndio maana Mungu akaingilia kati lakini binadamu huwa tuna kichwa ngumu sana. Bado hatujaupata ujumbe wa Mungu. Kama ilivyokuwa wakati wa Nuhu, Sodoma na Gomora, ni hivyo hivyo hata leo.
Dada etu amewapigia kura kama watu mia hivi
 
Historia inatukumbusha kuwa walioitwa wahuni ndio waliomng'oa Gaddafi wa Libya madarakani na haohao wanaoitwa wahuni ndio wameandika historia nyingine kwa kumfanya Rais wa Tanzania kutolewa ndani kwa kupitishwa mlango wa nyuma.
 
Tanzania bado kuna wapumbavu Kama Monica.
View attachment 2198682Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati

Na;

Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)

Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani pindi Rais Samia akiendelea na Ziara yake nchini humo, ukweli ni kwamba kikundi hicho ni vijana wahuni (wasiozidi watu 15) wasio kuwa na ajira ambao wengi wao siyo Watanzania ambao wamelipwa na Wanaharakati na wapinzani waliopo nchini Tanzania ili kuchafua taswira ya nchi na serikali katika uso wa Dunia.

Ikumbukwe kuwa wakati wahuni hao wanafanya maandamo uchwara, Rais alikuwa akiwahutubia Watanzania waishio Marekani na kujadiliana nao juu ya masuala mbalimbali kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taifa letu huku wahuni hao wakiwa nje ya jengo wakipaza sauti zao ili kuwaridhisha wanaharakati na wapinzani ambao wamewapa ujira wa siku kwa ajili ya upuuzi huo.

Tanzania Diaspora in USA tunatambua jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya siasa nchini Tanzania ikiwemo vyama vya upinzani kupitia Kikosi kazi cha Maridhiano ya Kisiasa kilichoundwa na Serikali kwa ajili ya kuleta muafaka wa kitaifa juu ya masuala mahususi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kuendelea kufanikisha maendeleo ya Taifa.

Hivyo, hatukubali kuona ajenda ya chama kimoja cha kisiasa cha upinzani ambacho kinashirikiana na wanaharakati wake kuzima Ndoto za viongozi wetu kwa maslahi yao ya kisiasa kuliko maslahi ya Taifa.

Tuwakatae mamluki!

Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿
 
View attachment 2198682Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati

Na;

Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)

Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani pindi Rais Samia akiendelea na Ziara yake nchini humo, ukweli ni kwamba kikundi hicho ni vijana wahuni (wasiozidi watu 15) wasio kuwa na ajira ambao wengi wao siyo Watanzania ambao wamelipwa na Wanaharakati na wapinzani waliopo nchini Tanzania ili kuchafua taswira ya nchi na serikali katika uso wa Dunia.

Ikumbukwe kuwa wakati wahuni hao wanafanya maandamo uchwara, Rais alikuwa akiwahutubia Watanzania waishio Marekani na kujadiliana nao juu ya masuala mbalimbali kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taifa letu huku wahuni hao wakiwa nje ya jengo wakipaza sauti zao ili kuwaridhisha wanaharakati na wapinzani ambao wamewapa ujira wa siku kwa ajili ya upuuzi huo.

Tanzania Diaspora in USA tunatambua jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya siasa nchini Tanzania ikiwemo vyama vya upinzani kupitia Kikosi kazi cha Maridhiano ya Kisiasa kilichoundwa na Serikali kwa ajili ya kuleta muafaka wa kitaifa juu ya masuala mahususi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kuendelea kufanikisha maendeleo ya Taifa.

Hivyo, hatukubali kuona ajenda ya chama kimoja cha kisiasa cha upinzani ambacho kinashirikiana na wanaharakati wake kuzima Ndoto za viongozi wetu kwa maslahi yao ya kisiasa kuliko maslahi ya Taifa.

Tuwakatae mamluki!

Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿
Kwani ni kosa gani au ni kipi kibaya walichokifanya mpaka uwaite wahuni?
Tujifunze kukubaliana na mawazo ya wengine, ingekuwa ni hapa mngefyatua risasi za moto
 
Mbona bongozozo mlimualika hadi ikulu?

Alipokuwa anasafiri na Taifa Stars mbona mbona hamkusema ni mamluki wa Uingereza?

Mkipewa dose ya ukweli kuhusu katiba ndio mnaleta habari za umamluki.

Huoni aibu MATAGA?
Siko upande wa mleta post ila naomba kuuliza maana ya MATAGA?
 
Ni kikundi kilianzishwa enzi za Magufuli .

Kikiwa kina lengo la kusifia kila afanyalo Magufuli mitandaoni wakishirikiana na wale waliojiita matokeo chanya.

MATAGA-Make Tanzania Great Again.

Jina na kazi walizokua wanafanya kikundi hicho ni tofauti , hawakua wakichagiza ujenzi wa Tanzania mpya bali nchi yenye chuki, visasi na uvunjwaji wa haki za binadamu.
 
Kwa hiyo hapo uneona umelitumia mahali sahihi?
 
We umelipwa kiasi gani?Unadhani kwa kuwa nyie mnalipwa kusifia basi na wanaokosoa nao wamelipwa?

Fungua akili yako wewe,Diaspora umekula marahage ya wapi sijui
 
Hili ni bandiko LA
View attachment 2198682Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati

Na;

Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)

Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani pindi Rais Samia akiendelea na Ziara yake nchini humo, ukweli ni kwamba kikundi hicho ni vijana wahuni (wasiozidi watu 15) wasio kuwa na ajira ambao wengi wao siyo Watanzania ambao wamelipwa na Wanaharakati na wapinzani waliopo nchini Tanzania ili kuchafua taswira ya nchi na serikali katika uso wa Dunia.

Ikumbukwe kuwa wakati wahuni hao wanafanya maandamo uchwara, Rais alikuwa akiwahutubia Watanzania waishio Marekani na kujadiliana nao juu ya masuala mbalimbali kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taifa letu huku wahuni hao wakiwa nje ya jengo wakipaza sauti zao ili kuwaridhisha wanaharakati na wapinzani ambao wamewapa ujira wa siku kwa ajili ya upuuzi huo.

Tanzania Diaspora in USA tunatambua jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya siasa nchini Tanzania ikiwemo vyama vya upinzani kupitia Kikosi kazi cha Maridhiano ya Kisiasa kilichoundwa na Serikali kwa ajili ya kuleta muafaka wa kitaifa juu ya masuala mahususi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kuendelea kufanikisha maendeleo ya Taifa.

Hivyo, hatukubali kuona ajenda ya chama kimoja cha kisiasa cha upinzani ambacho kinashirikiana na wanaharakati wake kuzima Ndoto za viongozi wetu kwa maslahi yao ya kisiasa kuliko maslahi ya Taifa.

Tuwakatae mamluki!

Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿
Hili ni bandiko LA kipumbavu katika historia ya Jamii forum
 
Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241]
Yaani katiba mpya ni hoja ya Chama kimoja? Hauko makini, katiba mpya ni ya Watanzania, iondoe u-Mungu mtu wa Rais. Rais amekuwa kila kitu yeye, hata akikosea hashitakiwi, Watanzania siyo mifugo uwapeleke tu utakako.
 
Back
Top Bottom