Haikubaliki, Diaspora wanatumika kisiasa na wanaharakati

Huyu wa sasa sio alazimishwe kutawala LAA Bali alazimishwe Katiba mpya

Sasa wewe Diaspora una faida gani hapo maana ukienda Tz unaingia kwa Visa na $ unalipa
Huwezi hata kupata hati miliki ya mashamba yenu wala nyumba zenu

Sasa hapo kuna mtu kashika bango la Dual citizenship nae ni mamluki?
Inaonekana huelewi unachofanya huko mradi upo tu shame on you

Hivi Hakuna waliooa wazungu wakatoka watoto weupe ?
 
Ina maana huko uvccm hawapo? Walizaliwa kutimuliwa na makofi juu, kwa jiwe wasingethubutu

Jiwe hakuwahi kuthubutu kwenda huko. Na yule angeenda ndio angefurahishwa. Na vile alizoea mbwembwe za kijinga ndio angeongea kile kiingereza kibovu chenye lafudhi ya kizinza.
 
View attachment 2198682Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati

Na;

Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)

Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani pindi Rais Samia akiendelea na Ziara yake nchini humo, ukweli ni kwamba kikundi hicho ni vijana wahuni (wasiozidi watu 15) wasio kuwa na ajira ambao wengi wao siyo Watanzania ambao wamelipwa na Wanaharakati na wapinzani waliopo nchini Tanzania ili kuchafua taswira ya nchi na serikali katika uso wa Dunia.

Ikumbukwe kuwa wakati wahuni hao wanafanya maandamo uchwara, Rais alikuwa akiwahutubia Watanzania waishio Marekani na kujadiliana nao juu ya masuala mbalimbali kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taifa letu huku wahuni hao wakiwa nje ya jengo wakipaza sauti zao ili kuwaridhisha wanaharakati na wapinzani ambao wamewapa ujira wa siku kwa ajili ya upuuzi huo.

Tanzania Diaspora in USA tunatambua jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya siasa nchini Tanzania ikiwemo vyama vya upinzani kupitia Kikosi kazi cha Maridhiano ya Kisiasa kilichoundwa na Serikali kwa ajili ya kuleta muafaka wa kitaifa juu ya masuala mahususi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kuendelea kufanikisha maendeleo ya Taifa.

Hivyo, hatukubali kuona ajenda ya chama kimoja cha kisiasa cha upinzani ambacho kinashirikiana na wanaharakati wake kuzima Ndoto za viongozi wetu kwa maslahi yao ya kisiasa kuliko maslahi ya Taifa.

Tuwakatae mamluki!

Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿
Watanzania wengi kama wewe akili zenu zipo matakoni
 
Huyu mwenyewe anatumika na serikali, ñi mwendo wa kutumiana
 
Diaspora oyee! Katiba mpya ni Sasa! Kuna ubaya Gani?
 
Basi wametumwa na mbowe. Ili roho yako nitumie kenge maji wewe
 
Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241]
Tumia akili yako vizuri sio Kila jambo ni kukulupuka tu Kwa hiyo hujui kwamba maandamano ni haki ya kikatiba nchini kwetu?Na kutaka katiba mpya ni takwa la sheria sema tu watu wa CCM wameshaifanya nchi yetu kuwa kama Mali yao .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2198682Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati

Na;

Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)

Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani pindi Rais Samia akiendelea na Ziara yake nchini humo, ukweli ni kwamba kikundi hicho ni vijana wahuni (wasiozidi watu 15) wasio kuwa na ajira ambao wengi wao siyo Watanzania ambao wamelipwa na Wanaharakati na wapinzani waliopo nchini Tanzania ili kuchafua taswira ya nchi na serikali katika uso wa Dunia.

Ikumbukwe kuwa wakati wahuni hao wanafanya maandamo uchwara, Rais alikuwa akiwahutubia Watanzania waishio Marekani na kujadiliana nao juu ya masuala mbalimbali kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taifa letu huku wahuni hao wakiwa nje ya jengo wakipaza sauti zao ili kuwaridhisha wanaharakati na wapinzani ambao wamewapa ujira wa siku kwa ajili ya upuuzi huo.

Tanzania Diaspora in USA tunatambua jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya siasa nchini Tanzania ikiwemo vyama vya upinzani kupitia Kikosi kazi cha Maridhiano ya Kisiasa kilichoundwa na Serikali kwa ajili ya kuleta muafaka wa kitaifa juu ya masuala mahususi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kuendelea kufanikisha maendeleo ya Taifa.

Hivyo, hatukubali kuona ajenda ya chama kimoja cha kisiasa cha upinzani ambacho kinashirikiana na wanaharakati wake kuzima Ndoto za viongozi wetu kwa maslahi yao ya kisiasa kuliko maslahi ya Taifa.

Tuwakatae mamluki!

Mungu Ibariki Tanzania 🇹🇿

Nadhani mamluki ni wewe usiye kuwa na huruma na watanzania wenzako.
 
Hii mada ya kipumbavu imenikumbusha zamani huko kibosho tulikuwa tunacheza mpira barabarani, wakawa wanapita wazungu wawili mwanamke na mwanaume vijana.
Mmoja wetu akashika mpira ili wapite kwanza, basi jamaa mmoja akamuambia achia mpira hao sio Watu.

Kwa kasi yule Mzungu mwanaume akamdaka akampiga konzi Halafu akamuambia kwa kichaga cha kibosho kile chenyewe kabisa mpaka lafudhi (esi shite? Sisi ni mbwa? Tulibaki tumeduwaa, kumbe wale ni wachaga kabisa.

Kwa upande wa huko USA ujumbe umemfikia mama hata ingekuwa ni kima wameutoa

US kuna uhuru wa maandamano hakuna Siro hapa. Mtu yeyote ana haki hii sasa cha ajabu ni nini kama tulivyosema hakuna kitu hata kimoja kitakuwa 100% kwenye nchi ya demokrasia. Katiba haina chama tusiwaingize Chadema kwenye hili sikuona bango la chama chochote
 
View attachment 2198682Tuwakatae Mamluki waliojikusanya Katika Ubalozi wa Tanzania Nchini Marekani; ni kikundi cha wahuni kinachotumika na wanaharakati

Na;

Tanzania Diaspora waishio Marekani (USA)

Yanayoitwa maandamano ya kudai katiba mpya katika mitandao ya kijamii kwamba yalifanywa na Watanzania waishio Marekani pindi Rais Samia akiendelea na Ziara yake nchini humo, ukweli ni kwamba kikundi hicho ni vijana wahuni (wasiozidi watu 15) wasio kuwa na ajira ambao wengi wao siyo Watanzania ambao wamelipwa na Wanaharakati na wapinzani waliopo nchini Tanzania ili kuchafua taswira ya nchi na serikali katika uso wa Dunia.

Ikumbukwe kuwa wakati wahuni hao wanafanya maandamo uchwara, Rais alikuwa akiwahutubia Watanzania waishio Marekani na kujadiliana nao juu ya masuala mbalimbali kwa maslahi mapana ya maendeleo ya Taifa letu huku wahuni hao wakiwa nje ya jengo wakipaza sauti zao ili kuwaridhisha wanaharakati na wapinzani ambao wamewapa ujira wa siku kwa ajili ya upuuzi huo.

Tanzania Diaspora in USA tunatambua jitihada zinazofanywa na Serikali kwa kushirikiana na wadau wa masuala ya siasa nchini Tanzania ikiwemo vyama vya upinzani kupitia Kikosi kazi cha Maridhiano ya Kisiasa kilichoundwa na Serikali kwa ajili ya kuleta muafaka wa kitaifa juu ya masuala mahususi ya kisiasa, kiuchumi na kijamii katika kuendelea kufanikisha maendeleo ya Taifa.

Hivyo, hatukubali kuona ajenda ya chama kimoja cha kisiasa cha upinzani ambacho kinashirikiana na wanaharakati wake kuzima Ndoto za viongozi wetu kwa maslahi yao ya kisiasa kuliko maslahi ya Taifa.

Tuwakatae mamluki!

Mungu Ibariki Tanzania [emoji1241]
Mana katokea mlango wa stoo,kwa akili yake ndogo kama yako ameonekana akili yake level ya lusinde
 
Monica Mgeni - wewe ndo unatumika na wezi wa kura wa 2020. Unaijua Tanzania Diaspora USA kweli? Nyie ni kakikundi ka CCM msiotaka Katiba mpya. Mnataka kuendelea kutawala Tanzania kwa ghirba zile zile za 2020. Hakuna mtu atawaruhusu safari hii. Haki sawa kwa watu wote.

Unataka kuonyesha nini? Kwamba Tanzania haiwezi kuwa na Mzungu. Mbona wapo tunaishi nao hapa Tanzania wanaongea Kiswahili kuliko nyie. Na Nyerere alipata kuwa na Wazungu kwenye Baraza lake. U-diaspora wako ni mav tu. Unatumika kurudisha nyuma maendeleo ya kidemokrasia ya nchi yako.

View attachment 2198757
Dada etu amewapigia kura kama watu mia hivi
 
Wewe umelipwa sh ngapi?tuanzie hapo kwanza
Namie nilitaka kumuuliza huyu dada mwenye mwandiko kama mtu fudenge!

Yeye kapokea Shilingi na senti ngapi kutuandikia hili bandiko!?

Huu ujinga WA kutotaka mawazo tofauti sijui aliyeturoga ni Nani ashughulikiwe!?

Very sad. Unaona Bunge kilikuwa ndiyo, kile kile wakubwa zao wakisema siyo nao utawasikia siyo! Like puppets in a theatre!
 
Hao mataga wamezoea wao tu wabebe mabango ya kusifu na kuabudu watu,wakitokea wengine na mabango yao yenye jumbe za maana wanaanza kuwashwa.
Tulizeni vijambi()
 
Back
Top Bottom