Haikubaliki, Diaspora wanatumika kisiasa na wanaharakati

wewe ndiye muhuni unayejipendekeza kwa utawala hao c wahuni wana haki ya kuonesha hisia zao hawajatumwa na mtu yoyote na huyo uliyemuonesha mshare kweli ni mzungu sasa dhambi iko wapi kushirikiana na Wadai haki nina wasi wasi kama kweli weye unaishi marekani
 
Hao ni wauza madawa ya kulevya,serikali iwatolee taarifa kwa mamlaka za marekani
 
Hawa watanyimwa passport wakienda kuomba ubalozini. Wameipaka matope nchi yao na wanaonekana ni wasaliti.
 
Sasa kama siyo Watanzania tunahangaika nao wa kazi gani
 

Huu ni mwandiko wa yule Loveness aliyesema rais anaweza chomwa kisu, mara ooh hawezi kutembea!
 
Wakati Mama akiwa Marekani kipindi kile Mange ameenda kumpokea, pia walikuwepo wazungu, je walikuwa wanatumika au walikuwa wahuni? Acha upimbi wewe
 
BOSS was tiss anapaswa kufutwa kazi alipaswa kuiona mapema wangeandaa watu wakuwatimua
 
Ina maana huko uvccm hawapo? Walizaliwa kutimuliwa na makofi juu, kwa jiwe wasingethubutu
 
Monica Mgeni
Mbona wewe ndiye mhuni Og..
Kwani hao diaspora hawana utashi wa kutambua kama Katiba Mpya Kwa Tanzania ni muhimu sana Kwa sasa?!!!
 
Ww uliyeleta mada unataka kutuambia kwamba kudai katiba ni uhuni,hv kwa akili yako unadhani hata hayo anayoyafanya Samia kule Marekani yana faida kwa watanzania hata kama anatafuta hela kazi bure maana hana uwezo thabiti wa kusimamia mali za Umma wa watanzania maana SAG amesema Kuna wizi mkubwa na msimamizi na mlinzi namba moja aliyekabidhiwa usukani yeye yuko Marekani anacheza FILAMU na huku nyuma Wahuni wanagawana fedha za walipa kodi,Hii nchi basi tu.Halafu mjinga mmoja anasema kudai katiba ni uhuni kisa walikuwa watu kumi na tano,mm nilidhani yuko mmoja,mbona ni wengi sana hao.
 
Kuongoza binadamu ni kazi kweli kweli. Akirudi akutane na zawadi inayomsubiri ya mbuzi anayekokotwa kwa kamba. Ndio maana Mfalme Sulemani aliomba hekima ya kuwaamua watu Mungu aliompa kuwaongoza kwa haki.
 
Hivi Katiba mpya itatengenezwa na Wamarekani au Watanzania? Hao walioandamana wamesema hiyo Katiba iundwe huko Marekani kisha iletwe kutumika Tanzania? Mbona mna mawazo ya kizuzu hivi huku mkijiita Chama Tawala?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Kwani na nyie si mngeenda na mabango ya kusapoti katiba iliyopo.... kwanini hamna hamasa kama wanaopinga?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…