Haikubaliki, Diaspora wanatumika kisiasa na wanaharakati

Huyu wa sasa sio alazimishwe kutawala LAA Bali alazimishwe Katiba mpya

Sasa wewe Diaspora una faida gani hapo maana ukienda Tz unaingia kwa Visa na $ unalipa
Huwezi hata kupata hati miliki ya mashamba yenu wala nyumba zenu

Sasa hapo kuna mtu kashika bango la Dual citizenship nae ni mamluki?
Inaonekana huelewi unachofanya huko mradi upo tu shame on you

Hivi Hakuna waliooa wazungu wakatoka watoto weupe ?
 
Ina maana huko uvccm hawapo? Walizaliwa kutimuliwa na makofi juu, kwa jiwe wasingethubutu

Jiwe hakuwahi kuthubutu kwenda huko. Na yule angeenda ndio angefurahishwa. Na vile alizoea mbwembwe za kijinga ndio angeongea kile kiingereza kibovu chenye lafudhi ya kizinza.
 
Watanzania wengi kama wewe akili zenu zipo matakoni
 
Huyu mwenyewe anatumika na serikali, ñi mwendo wa kutumiana
 
Diaspora oyee! Katiba mpya ni Sasa! Kuna ubaya Gani?
 
Basi wametumwa na mbowe. Ili roho yako nitumie kenge maji wewe
 
Tumia akili yako vizuri sio Kila jambo ni kukulupuka tu Kwa hiyo hujui kwamba maandamano ni haki ya kikatiba nchini kwetu?Na kutaka katiba mpya ni takwa la sheria sema tu watu wa CCM wameshaifanya nchi yetu kuwa kama Mali yao .

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Nadhani mamluki ni wewe usiye kuwa na huruma na watanzania wenzako.
 

US kuna uhuru wa maandamano hakuna Siro hapa. Mtu yeyote ana haki hii sasa cha ajabu ni nini kama tulivyosema hakuna kitu hata kimoja kitakuwa 100% kwenye nchi ya demokrasia. Katiba haina chama tusiwaingize Chadema kwenye hili sikuona bango la chama chochote
 
Mana katokea mlango wa stoo,kwa akili yake ndogo kama yako ameonekana akili yake level ya lusinde
 
Dada etu amewapigia kura kama watu mia hivi
 
Wewe umelipwa sh ngapi?tuanzie hapo kwanza
Namie nilitaka kumuuliza huyu dada mwenye mwandiko kama mtu fudenge!

Yeye kapokea Shilingi na senti ngapi kutuandikia hili bandiko!?

Huu ujinga WA kutotaka mawazo tofauti sijui aliyeturoga ni Nani ashughulikiwe!?

Very sad. Unaona Bunge kilikuwa ndiyo, kile kile wakubwa zao wakisema siyo nao utawasikia siyo! Like puppets in a theatre!
 
Hao mataga wamezoea wao tu wabebe mabango ya kusifu na kuabudu watu,wakitokea wengine na mabango yao yenye jumbe za maana wanaanza kuwashwa.
Tulizeni vijambi()
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…