Wengine hatujaanza leo kukosoa na kushauri, hii ni thread yangu ya Oct 2018 sijui kama ulikuwa umeshajiunga JF.Jpm alivyokua anaropoka tuoneshe uliposhauri
Oh sasa mbona kampeni zimeanza mapema sanaaa wakati wenzake bado wapo jail?? 😳Kwa Sasa ni wazi amejionyesha anautaka tena Urais 2025
Kapeleka waziri wa ulinzi mwanamke na sasa atatuletea spika mwanamke
Ni wazi anatamani kuendelea kuwa Rais hata baada ya 2025
Hii inaleta picha mbaya kwamba huenda alimloga Magufuli ili yeye awe Rais
Kwa Sasa ni wazi amejionyesha anautaka tena Urais 2025
Kapeleka waziri wa ulinzi mwanamke na sasa atatuletea spika mwanamke
Ni wazi anatamani kuendelea kuwa Rais hata baada ya 2025
Hii inaleta picha mbaya kwamba huenda alimloga Magufuli ili yeye awe Rais
Mimi binafsi sikuamini kuwa ndo sababu nanimekuja kugundua ukweli baada ya mawaziri hai aliowatoa.wewe uliamini ?
Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.
Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa aliowaondoa ndio walikuwa wanautamani urais zaidi ya aliowaacha kwenye baraza hilo kina January, Mwigulu, Majaliwa.
Alichotakiwa Rais ni kufanya mabadiliko ya kawaida kwa kutaja sababu ya maendeleo bila kutaja sababu ambayo kwa kiasi fulani imewajengea wananchi mtazamo hasi kwa walioondolewa na kwake pia kuwa kumbe nayeye anautamani urais.
Ataendelea kuwa Rais wako hata baada ya 2025.Na atachaguliwa na Watanzania walio wengi,wenye chama na wasio na chama. Katiba ya nchi na ya chama chake vyote vinamruhusu na hapajaandikwa mahala popote kwamba Rais hapaswi kuwa mwanamke. Wewe na huyo mgombea wako mwanaume endeleeni kujipanga mkiwa nje ya mfumo subirini hiyo 2030.Mtu kutaka kugombea urais ndiyo kuwa na nia ovu dhidi ya Rais? Kama ni hivyo ni wapi kwenye katiba imeandikwa hivyo?
Kila mtu ana haki ya kutaka kugombea Uraisi siyo yeye tu
Huyo saambovu ameshanogewa na hicho cheo, kitamtokea puani Watanzania bado hawapo tayari kuongozwa na mwanamke na siyo sehemu ya mazoea na tamaduni zetu
Kama anataka Uraisi kwa nguvu namna hiyo mwambie hapati aende huko kwao kula urojo
Hahaha hatarudi okonga ?Waitara atarudia kupika chai ya viongozi wa chama Lumumba , sasa hivi hatoshi tena UVCCM. Atapika chai ya Chongoro
Uchaguzi ukisimamiwa na Tume Huru tutamsahau.Hahaha hatarudi okonga ?
Mbona siku hizi mnamgeuka mkiti wenu.Wale wanaoutaka Urais kawabakiza humo ngoja waendelee kumtungua taratibu.
Upo Sahihi Wenye UCHU wa URAIS niRais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.
Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa aliowaondoa ndio walikuwa wanautamani urais zaidi ya aliowaacha kwenye baraza hilo kina January, Mwigulu, Majaliwa.
Alichotakiwa Rais ni kufanya mabadiliko ya kawaida kwa kutaja sababu ya maendeleo bila kutaja sababu ambayo kwa kiasi fulani imewajengea wananchi mtazamo hasi kwa walioondolewa na kwake pia kuwa kumbe nayeye anautamani urais.
Sahau kitu kama hichoAtaendelea kuwa Rais wako hata baada ya 2025.Na atachaguliwa na Watanzania walio wengi,wenye chama na wasio na chama. Katiba ya nchi na ya chama chake vyote vinamruhusu na hapajaandikwa mahala popote kwamba Rais hapaswi kuwa mwanamke. Wewe na huyo mgombea wako mwanaume endeleeni kujipanga mkiwa nje ya mfumo subirini hiyo 2030.
achana nae huyo tahiraWengine hatujaanza leo kukosoa na kushauri, hii ni thread yangu ya Oct 2018 sijui kama ulikuwa umeshajiunga JF.
Rais Magufuli anatakiwa atambue kuwa, dunia ya sasa ubabe hausaidii
Katika ulimwengu huu wa sasa ubabe wa aina yeyote ile uwe wa mtu na mtu nchi na nchi umepitwa na wakati, viongozi wakubwa wenye nguvu kama Trump, Putin, wameanza kuona ubabe hauna faida yeyote. Pamoja na ubabe wote wa Trump amelazimika kutafuta suluhu na kiongozi wa Korea ya Kaskazini Kim Jong...www.jamiiforums.com
Possibly wakati mwingine anaweza kuwa amelazimika kufanya hivyo. Hivi hao wote walioko Ikulu, sisi tulioko kwenye mitandao ndiyo vinara tunawazidi kabisa namna ya kufanya decision making? We seem like to crticize every decission they make, na critics zetu zinamwendea mtu mmoja tuRais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.