- Thread starter
- #21
Wengine hatujaanza leo kukosoa na kushauri, hii ni thread yangu ya Oct 2018 sijui kama ulikuwa umeshajiunga JF.Jpm alivyokua anaropoka tuoneshe uliposhauri
Rais Magufuli anatakiwa atambue kuwa, dunia ya sasa ubabe hausaidii
Katika ulimwengu huu wa sasa ubabe wa aina yeyote ile uwe wa mtu na mtu nchi na nchi umepitwa na wakati, viongozi wakubwa wenye nguvu kama Trump, Putin, wameanza kuona ubabe hauna faida yeyote. Pamoja na ubabe wote wa Trump amelazimika kutafuta suluhu na kiongozi wa Korea ya Kaskazini Kim Jong...