Haikuwa sahihi kwa Rais kutaja hadharani sababu ya kufanya mabadiliko kwenye Baraza la Mawaziri

Jpm alivyokua anaropoka tuoneshe uliposhauri
Wengine hatujaanza leo kukosoa na kushauri, hii ni thread yangu ya Oct 2018 sijui kama ulikuwa umeshajiunga JF.

Kwa Sasa ni wazi amejionyesha anautaka tena Urais 2025

Kapeleka waziri wa ulinzi mwanamke na sasa atatuletea spika mwanamke

Ni wazi anatamani kuendelea kuwa Rais hata baada ya 2025

Hii inaleta picha mbaya kwamba huenda alimloga Magufuli ili yeye awe Rais
Oh sasa mbona kampeni zimeanza mapema sanaaa wakati wenzake bado wapo jail?? 😳
 
Kwa Sasa ni wazi amejionyesha anautaka tena Urais 2025

Kapeleka waziri wa ulinzi mwanamke na sasa atatuletea spika mwanamke

Ni wazi anatamani kuendelea kuwa Rais hata baada ya 2025

Hii inaleta picha mbaya kwamba huenda alimloga Magufuli ili yeye awe Rais

Na wewe mroge
 
Ilikuwa mwanzo kabisa aliposhauriwa humu kuwa apamge safu yake ila kwa huruma yake akaona awaache wamalize uzee wao

Ila wakajiona ni untouchables na matokeo yake ndio hayo
Warogane sana maana huwa watu wakiwa wanatfuta madaraka utawakuta kanisani ila wakikosa kwa mgangaaaaaa
 
Wale wanaoutaka Urais kawabakiza humo ngoja waendelee kumtungua taratibu.
 
Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.

Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa aliowaondoa ndio walikuwa wanautamani urais zaidi ya aliowaacha kwenye baraza hilo kina January, Mwigulu, Majaliwa.

Alichotakiwa Rais ni kufanya mabadiliko ya kawaida kwa kutaja sababu ya maendeleo bila kutaja sababu ambayo kwa kiasi fulani imewajengea wananchi mtazamo hasi kwa walioondolewa na kwake pia kuwa kumbe nayeye anautamani urais.

Pia kuutamani urais sio dhambi wala kufru. Hata yeye alikua anautamani na kaupata
 
Mtu kutaka kugombea urais ndiyo kuwa na nia ovu dhidi ya Rais? Kama ni hivyo ni wapi kwenye katiba imeandikwa hivyo?

Kila mtu ana haki ya kutaka kugombea Uraisi siyo yeye tu

Huyo saambovu ameshanogewa na hicho cheo, kitamtokea puani Watanzania bado hawapo tayari kuongozwa na mwanamke na siyo sehemu ya mazoea na tamaduni zetu

Kama anataka Uraisi kwa nguvu namna hiyo mwambie hapati aende huko kwao kula urojo
Ataendelea kuwa Rais wako hata baada ya 2025.Na atachaguliwa na Watanzania walio wengi,wenye chama na wasio na chama. Katiba ya nchi na ya chama chake vyote vinamruhusu na hapajaandikwa mahala popote kwamba Rais hapaswi kuwa mwanamke. Wewe na huyo mgombea wako mwanaume endeleeni kujipanga mkiwa nje ya mfumo subirini hiyo 2030.
 
Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.

Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa aliowaondoa ndio walikuwa wanautamani urais zaidi ya aliowaacha kwenye baraza hilo kina January, Mwigulu, Majaliwa.

Alichotakiwa Rais ni kufanya mabadiliko ya kawaida kwa kutaja sababu ya maendeleo bila kutaja sababu ambayo kwa kiasi fulani imewajengea wananchi mtazamo hasi kwa walioondolewa na kwake pia kuwa kumbe nayeye anautamani urais.
Upo Sahihi Wenye UCHU wa URAIS ni
Majaliwa
Mwigulu
January

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Tatizo hampendi kuambiwa ukweli.
Na ukweli SIKU ZOTE UWA UNAUMA.
 
Ataendelea kuwa Rais wako hata baada ya 2025.Na atachaguliwa na Watanzania walio wengi,wenye chama na wasio na chama. Katiba ya nchi na ya chama chake vyote vinamruhusu na hapajaandikwa mahala popote kwamba Rais hapaswi kuwa mwanamke. Wewe na huyo mgombea wako mwanaume endeleeni kujipanga mkiwa nje ya mfumo subirini hiyo 2030.
Sahau kitu kama hicho

Hakuna mtu wa kumpa kura huyo mama

Atafanyiwa tu mapinduzi na atakimbia mwenyewe

Si unajua kuna wahuni kibao huko ccm?
 
Wengine hatujaanza leo kukosoa na kushauri, hii ni thread yangu ya Oct 2018 sijui kama ulikuwa umeshajiunga JF.

achana nae huyo tahira
 
Rais alisema kuwa mawaziri atakaowaacha kwenye uteuzi ni wale wenye tamaa ya urais 2025. Baada ya kauli ile watu walitega masiko kuona ni akina nani wataachwa.

Walioachwa pamoja na Ndugai ni Lukuvi, Palamagamba, Mwambe, Mkumbo na Waitara, ingawa mimi sio informer wake lkn sidhani kuwa aliowaondoa ndio walikuwa wanautamani urais zaidi ya aliowaacha kwenye baraza hilo kina January, Mwigulu, Majaliwa.

Alichotakiwa Rais ni kufanya mabadiliko ya kawaida kwa kutaja sababu ya maendeleo bila kutaja sababu ambayo kwa kiasi fulani imewajengea wananchi mtazamo hasi kwa walioondolewa na kwake pia kuwa kumbe nayeye anautamani urais.
Possibly wakati mwingine anaweza kuwa amelazimika kufanya hivyo. Hivi hao wote walioko Ikulu, sisi tulioko kwenye mitandao ndiyo vinara tunawazidi kabisa namna ya kufanya decision making? We seem like to crticize every decission they make, na critics zetu zinamwendea mtu mmoja tu
 
Back
Top Bottom