Wangari Maathai
JF-Expert Member
- Aug 13, 2018
- 34,962
- 70,576
Siachi...tumejilea vby sana watz..tunapenda mteremko....lazima tuambizane ukwel...siku serikali ikikupa huo msaada uje useme hapa umepewa bure mamilion mangap😏,kwan ukiwa mlemav wa mwili na akili nayo inakua lemavu?Nahis kama ungeacha kuchangia hapa. Unavuruga michango mizuri inayotolewa na wengine.
Yah ila kwa walemavu badala ya kikundi ila hata mtu mmoja mmoja. Naomba ieleweke hapa hatuhitaji pesa za bure.Serikali inatoa mikopo na si mtaji wa bure.
Mikopo wanasema ipo. Je umefatilia ukakosa?Yah ila kwa walemavu badala ya kikundi ila hata mtu mmoja mmoja. Naomba ieleweke hapa hatuhitaji pesa za bure.
Ahsante mkuu kwa kutambua hilo!Umeona mbali mkuu
Lakini mbona anaandika fresh..labda uono hafifu....lakini bado anaweza sana kuanza na chichote then akawa pushed....Ooh pole, hapo changamoto ipo
Mkuu ahsante sana kwa kutambua hilo, pia ahsantebkwa ushauri na mtazamo mzuri.Mlemavu ana Economic disadvantages nyingi kuliko Advantages.
Tunazungumzia kukwamuka kiuchumi, mlemavu kupata nafasi katika Private Entity ni sawa na ngamia kupita katika tundu la sindano iwe Professional, iwe manual work mbinde sana mlemavu kupata nafasi huko...Private Entity wanaangalia faida ya kampuni zaidi kumpa kazi mlrmavu na kumuacha mzima kwao wanaona kama Charitable Activities na wao hawapo kwaajiri ya Charity.
Now, tunaona mlemavu hana nafasi serikalini hana nafasi Private, kimbilio pekee linalobaki kwake ni kujiajiri.
Swali: anajiajiri vipi hana mia mfukoni.
tukijiuliza swali hilo maana yake tunaangali mwanzo anaanzaje, tusiangalie kuna mlemavu anamiliki Gari, Hotel, Shule...Suala alipokuwa hana ata 100 Tzs mfukoni ilikuwaje.
Mimi sijui nyie mutakwamukaje mimi hilo halinihusu imetosha kuwatetea.
Walemavu munahitaji mkono kwakweli, ila kwahii Dunia ya sasa nafikiri inaenda kinyumenyume unaweza kuwa na haki yakupata kitu fulani ila utangoja ukipate mpaka unakufa hakuna atayekuja kukupa.
Maisha ya sasahivi Kama mvua yanamnyeshea kila mtu hayajari wewe mlemavu wewe Graduate, unategemewa, mgonjwa yenyewe yanachojua ni kutandika bakora tu bila huruma.
Alisema anatumia kisoma screen yani App yenye uwezo wa kutamka herufi ukiigusa. Akipapasa screen akaigusa A, kisoma screen kinatoa sauti inatamka hiyo A na yeye anagusa tena hapo ndio herufi inaandikwa.Lakini mbona anaandika fresh..labda uono hafifu....lakini bado anaweza sana kuanza na chichote then akawa pushed....
Still chances za yeye kutoka kimaisha ni 100%Alisema anatumia kisoma screen yani App yenye uwezo wa kutamka herufi ukiigusa. Akipapasa screen akaigusa A, kisoma screen kinatoa sauti inatamka hiyo A na yeye anagusa tena hapo ndio herufi inaandikwa.
Mi sijui labda ana vifaa maalum vya kusomeaLakini mbona anaandika fresh..labda uono hafifu....lakini bado anaweza sana kuanza na chichote then akawa pushed....
Nawafaham watu kama 3 wamepewa. Wako kwenye kikundi.Mikopo wanasema ipo. Je umefatilia ukakosa?
Mkuu kama umefuatilia uzi nimetoa linck ya jibu namna gani navyoitumia simu na computer.Mi sijui labda ana vifaa maalum vya kusomea
Kikundi ni lazima, na wewe tafuta wenzako muendeNawafaham watu kama 3 wamepewa. Wako kwenye kikundi.
🙏 🙏 🙏 ❣️Ahsante mkuu kwa kutambua hilo!
Angalia Dm Yako, nimekutumia ujumbe.Hili limeshafanyika na limeleta mafanikio.
Sheria ya watu wenye ulemavu sura ya 183 imeweka masharti mazuri sana kwa waajiri,pia sheria ya Utumishi wa umma na ile kanuni (gn 326/2021) zimeweka mazingira mazuri sana kwao.Tatizo: wachache sana wanaomba kazi au wanapata minimum qualifications.Kuna part yao waicheze vizuri kwanza.Inasikitisha sana, ivi sheria inasemaje kuhusu hili suala la ajira kwa walemavu hata kama haifuatwi.
Hili kundi haitakiwi kusahaulika kiasi hiki hata kama mambo mengi makubwa yanatekelezwa
Tuna tatizo sana na kufuata sheria nchi hiiSheria ya watu wenye ulemavu sura ya 183 imeweka masharti mazuri sana kwa waajiri,pia sheria ya Utumishi wa umma na ile kanuni (gn 326/2021) zimeweka mazingira mazuri sana kwao.Tatizo: wachache sana wanaomba kazi au wanapata minimum qualifications.Kuna part yao waicheze vizuri kwanza.