“Haitajirudia tena” kauli ya kipuuzi sana wakati wa kufunga ndoa

Haitajirudia tena great thinker make history kuishi ni Mara moja

Ni kweli, lakini isiwe kauli yakumwambia mtu atumie pesa au gharama kubwa kufanya Harusi eti kisa haijirudii. Period. Hoja hapo iwe kuwaambia watu wafanye maandalizi ya kutosha ili tukio linapifika wasiwe na Stress za ovyo ovyo bali walifurahie sana maana ni tukio linalokujia mara moja maishani.
 
Amini mkuu umeongea point ya faida maishani
 
Mnaweza kwenda 4 tuu kufunga ndoa, nyie na wasimamizi simple. Baadae mkafanya grill party ya ndugu tuu. Hamna haja ya michango wala nguo za gharama waka madeni. Hela hizo mkafanyia vitu vya maendeleo.
 
Kwa wanawake wetu hawa, yaani ufunge ndoa na usimfanyie sherehe Kubwa daah. Sijui wamerogwa na nani asee [emoji28][emoji28][emoji28]
Ahsante kwa ushauri Mkuu, Ninachoshukuru Mungu sherehe iliisha salama haikua sherehe kubwa sana ila ilifana ila imeniacha vibaya sana.
 
relax mkuu. fanya kilicho ndani ya uwezo wako don't push yourself.
 
Kumbe ulikuwa unajijua udhaifu wako kabla hata ya kuoa, kwa nini ulioa? Maana hapa JF tu, nyuzi zako zinajieleza!
 
Wewe haupo tayari kwaajiri ya ndoa. Na unaingia ili kutoka sio kudumu. So sikushauri ufunge ndoa nakushauri ukafanye biashara huku ukiwa na mahusiano ya kawaida tu na hawa wadada wadangaji. Kuwa makini tu usipatwe na maradhi.
 
Sawa Mzee Zemanda
 
Kumbe ulikuwa unajijua udhaifu wako kabla hata ya kuoa, kwa nini ulioa? Maana hapa JF tu, nyuzi zako zinajieleza!
Kwani wewe haut*mb*i huko nje?? [emoji3526]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…