Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Haitajirudia tena great thinker make history kuishi ni Mara moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
He! bibie tena?Sawa Bibie
Haitajirudia tena great thinker make history kuishi ni Mara moja
He! bibie tena?
Ni kweli, lakini isiwe kauli yakumwambia mtu atumie pesa au gharama kubwa kufanya Harusi eti kisa haijirudii. Period. Hoja hapo iwe kuwaambia watu wafanye maandalizi ya kutosha ili tukio linapifika wasiwe na Stress za ovyo ovyo bali walifurahie sana maana ni tukio linalokujia mara moja maishani.
AsanteSi naona una pigo za kidemu
Tulia kidogo kwanza utaoa mwakani.
EnjoySawa, ila tayari nimeshaoa Mkuu. Niko honeymoon sasa hivi huku kwetu Morogoro.
Mnaweza kwenda 4 tuu kufunga ndoa, nyie na wasimamizi simple. Baadae mkafanya grill party ya ndugu tuu. Hamna haja ya michango wala nguo za gharama waka madeni. Hela hizo mkafanyia vitu vya maendeleo.Habari za wakati huu. Natumaiini mko njema kabisa. Eeeh bhana niko nafuatilia taratibu za kufunga ndoa ila kuna Vikauli vya kipuuzi sana tena vinatoka kwenye vinywa vya Watu niliowaheshimu sana.
Iko hivi, Yaani mtu ananiahauri sijui nishone suti ya laki tano na viatu sijui vya laki mbili sijui eti kisa tu ndoa huu ni upuuzi mkubwa sana ambao nimeona kabisa ndio moja ya kauli inayopelekea watu kuingia madeni ambayo hawakuyatarajia.
Unavyoniambia haitajirudia unamaanisha kuwa huyo ninaye muoa ni hadi kufa hata kama analeta upuuzi ?? Big Noo. Na hii kitu ilitokea wakati wa Engagement mtu mmoja akamwambia huyu mwanamke eti usije kuwayaabisha tena wazazi wakusanyike hapa. Hizi kauli sikuielewa, inamaana mnambanisha huyu dada hata yakimshinda aendelee kuvumilia tu kisa kuepuka kusumbua wazee.
Stewpid pipo, Nitaoa kwa gharama za kawaida na kama huyu nwanamke akijichanganya tunaachana fu**k “Till death do us apart” . I would rather live like a divorced man but happy rather than living the Hell on earth kufurahisha the so called Jamii. Hell Nooo
I am prepared for anything, Najua kutarakiana kupo na lolote likija nipo tayari. I don’t wanna give much expectations on Something has no warranty.
“Jana alikuwa ananiambia ameshona nguo ya gharama sana nikamuuliza kwanini unafanya
hivyo ili hali wajua wazi huna source hela zaidi ya kuchangiwa vijicent kwenye send off yako... akajibu bhnaa haitajirudia tena” duuh I pity her
Mnaweza kwenda 4 tuu kufunga ndoa, nyie na wasimamizi simple. Baadae mkafanya grill party ya ndugu tuu. Hamna haja ya michango wala nguo za gharama waka madeni. Hela hizo mkafanyia vitu vya maendeleo.
relax mkuu. fanya kilicho ndani ya uwezo wako don't push yourself.Habari za wakati huu. Natumaiini mko njema kabisa. Eeeh bhana niko nafuatilia taratibu za kufunga ndoa ila kuna Vikauli vya kipuuzi sana tena vinatoka kwenye vinywa vya Watu niliowaheshimu sana.
Iko hivi, Yaani mtu ananiahauri sijui nishone suti ya laki tano na viatu sijui vya laki mbili sijui eti kisa tu ndoa huu ni upuuzi mkubwa sana ambao nimeona kabisa ndio moja ya kauli inayopelekea watu kuingia madeni ambayo hawakuyatarajia.
Unavyoniambia haitajirudia unamaanisha kuwa huyo ninaye muoa ni hadi kufa hata kama analeta upuuzi ?? Big Noo. Na hii kitu ilitokea wakati wa Engagement mtu mmoja akamwambia huyu mwanamke eti usije kuwayaabisha tena wazazi wakusanyike hapa. Hizi kauli sikuielewa, inamaana mnambanisha huyu dada hata yakimshinda aendelee kuvumilia tu kisa kuepuka kusumbua wazee.
Stewpid pipo, Nitaoa kwa gharama za kawaida na kama huyu nwanamke akijichanganya tunaachana fu**k “Till death do us apart” . I would rather live like a divorced man but happy rather than living the Hell on earth kufurahisha the so called Jamii. Hell Nooo
I am prepared for anything, Najua kutarakiana kupo na lolote likija nipo tayari. I don’t wanna give much expectations on Something has no warranty.
“Jana alikuwa ananiambia ameshona nguo ya gharama sana nikamuuliza kwanini unafanya
hivyo ili hali wajua wazi huna source hela zaidi ya kuchangiwa vijicent kwenye send off yako... akajibu bhnaa haitajirudia tena” duuh I pity her
Kumbe ulikuwa unajijua udhaifu wako kabla hata ya kuoa, kwa nini ulioa? Maana hapa JF tu, nyuzi zako zinajieleza!Habari za wakati huu. Natumaiini mko njema kabisa. Eeeh bhana niko nafuatilia taratibu za kufunga ndoa ila kuna Vikauli vya kipuuzi sana tena vinatoka kwenye vinywa vya Watu niliowaheshimu sana.
Iko hivi, Yaani mtu ananiahauri sijui nishone suti ya laki tano na viatu sijui vya laki mbili sijui eti kisa tu ndoa huu ni upuuzi mkubwa sana ambao nimeona kabisa ndio moja ya kauli inayopelekea watu kuingia madeni ambayo hawakuyatarajia.
Unavyoniambia haitajirudia unamaanisha kuwa huyo ninaye muoa ni hadi kufa hata kama analeta upuuzi ?? Big Noo. Na hii kitu ilitokea wakati wa Engagement mtu mmoja akamwambia huyu mwanamke eti usije kuwayaabisha tena wazazi wakusanyike hapa. Hizi kauli sikuielewa, inamaana mnambanisha huyu dada hata yakimshinda aendelee kuvumilia tu kisa kuepuka kusumbua wazee.
Stewpid pipo, Nitaoa kwa gharama za kawaida na kama huyu nwanamke akijichanganya tunaachana fu**k “Till death do us apart” . I would rather live like a divorced man but happy rather than living the Hell on earth kufurahisha the so called Jamii. Hell Nooo
I am prepared for anything, Najua kutarakiana kupo na lolote likija nipo tayari. I don’t wanna give much expectations on Something has no warranty.
“Jana alikuwa ananiambia ameshona nguo ya gharama sana nikamuuliza kwanini unafanya
hivyo ili hali wajua wazi huna source hela zaidi ya kuchangiwa vijicent kwenye send off yako... akajibu bhnaa haitajirudia tena” duuh I pity her
Sawa Mzee ZemandaWewe haupo tayari kwaajiri ya ndoa. Na unaingia ili kutoka sio kudumu. So sikushauri ufunge ndoa nakushauri ukafanye biashara huku ukiwa na mahusiano ya kawaida tu na hawa wadada wadangaji. Kuwa makini tu usipatwe na maradhi.
Kwani wewe haut*mb*i huko nje?? [emoji3526]Kumbe ulikuwa unajijua udhaifu wako kabla hata ya kuoa, kwa nini ulioa? Maana hapa JF tu, nyuzi zako zinajieleza!