Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ni hofu yao tu. Yaani kinga ni bora kuliko tiba.Sasa kwa nini uchaguzi huru unakuwa ni shida??
Huu ni ukweli mchungu na hii IPO kwenye ukweli kwamba Ccm sio chama Cha siasa CCM ni chama Dola!Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani.
CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania.
Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele.
CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna huko , walokole wanavuna huko, waislamu wanavuna huko lakini kanisa hili maajabu yake ni kwamba haliishiwi waumini.
Bado lina nguvu. Wanazaliwa watoto kureplace wanaokufa na kuhama. Hiyo ndio CCM.
Watanzania watasema mabaya juu ya CCM lakini ikifika wakati wa kupiga kura wanampa mgombea wa CCM with no reason.
I hate CCM ila sioni ikishindwa , sioni namna CCM wanaweza kufail.
Wakuu wa vyombo hivi ni wanaccm kindaki ndaki na hawaoneshi hadharani! CCM inatunga Sheria za kuwalinda dhidi ya uhalifu juu ya binadamu!Ngoja siku JWTZ na Tiss wapate akili ndipo mtakiona cha mtema kuni
Na wakuu wa vyama vya siasa upinzani nao CCM pia hili watanzania watambueHuu ni ukweli mchungu na hii IPO kwenye ukweli kwamba Ccm sio chama Cha siasa CCM ni chama Dola!
CCM haijajitenga hata kidogo na mifumo yote ya nchi! Kwamba wakuu wa mifumo yote ya nchi ni wanaccm. Inahitaji akili kubwa kujua hili!
Kuna maeneo ccm inanguvu kweli na kuna maeneo ccm haina nguvu na haipendwi kabisa,ila ccm ni chama cha wezi wa kura na kutumia dola kubaki madarakani.Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani.
CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania.
Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele.
CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna huko , walokole wanavuna huko, waislamu wanavuna huko lakini kanisa hili maajabu yake ni kwamba haliishiwi waumini.
Bado lina nguvu. Wanazaliwa watoto kureplace wanaokufa na kuhama. Hiyo ndio CCM.
Watanzania watasema mabaya juu ya CCM lakini ikifika wakati wa kupiga kura wanampa mgombea wa CCM with no reason.
I hate CCM ila sioni ikishindwa , sioni namna CCM wanaweza kufail.
Jeshi hiliihili ambalo ukifikia ngazi fulani lazima uwe mwana CCM utake usitake?Naijua hiyo, upoo sahihii 100%.Sina chama ila najua ivoo pia labdaa Jeshi langu pendwa liamue tofauti.
IJeshi hiliihili ambalo ukifikia ngazi fulani lazima uwe mwana CCM utake usitake?
Mbowe daaahhSasa kama Mbowe tuliyemianishwa ni upinzani wa damu leo kalishwa asali kaunga juhudi unadhani lini ccm itatoka madarakani?
CCM DAIMA SAMIA MITANO TENAUmri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani.