Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani.
CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania.
Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele.
CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna huko , walokole wanavuna huko, waislamu wanavuna huko lakini kanisa hili maajabu yake ni kwamba haliishiwi waumini.
Bado lina nguvu. Wanazaliwa watoto kureplace wanaokufa na kuhama. Hiyo ndio CCM.
Watanzania watasema mabaya juu ya CCM lakini ikifika wakati wa kupiga kura wanampa mgombea wa CCM with no reason.
I hate CCM ila sioni ikishindwa , sioni namna CCM wanaweza kufail.