Haitatokea CCM kuondoka madarakani kwa sanduku la kura na karatasi. Never. Acha kujidanganya, CCM watatawala mpaka sisi vijana tuwe wazee

Haitatokea CCM kuondoka madarakani kwa sanduku la kura na karatasi. Never. Acha kujidanganya, CCM watatawala mpaka sisi vijana tuwe wazee

Mifumo ya kiutawala ndani ya hii nchi haiwezakani kwa namna yyite ile CCM tutoke madarakani,labda aje mtu kama Lissu atumie zaidi ya miaka 5 kuwajaza kuhamisha watu akili na kisha itokee fujo watu wauane,napo utaundwa Serikali ya mseto kama Zanzibar.
Kwa tathimini ya harakka haraka kutokana na hulka za watanzania hawa mazezeta,labda miaka 70 ijayo ndio CCM tutatoka madarakani.
Tena kwa hawa Watanzania Wapumbavu Wengi wao Wapenda Simba na Yanga kwa kweli we need to stretch out Mindset bro
 
Ngoja siku JWTZ na Tiss wapate akili ndipo mtakiona cha mtema kuni
Ukisema JWTZ umeshaijumuisha TISS humohumo ndani, hakukuwa na haja ya kuwatenganisha. TISS imezaliwa na JWTZ, ili kuwa usalama wa taifa uliyekamilika ni lazima upitie mafunzo ya jeshi. Na wanafikia mpaka hatua ya kuhitimu mafunzo na kuwa wanajeshi rasmi kabisa. Hapo ndo mnachomolewa na kupelekwa sehemu husika. Kama ni TPDF, sijui TISS, Magereza, n.k

Hawa wengineo wanatumika tu kupeleka taarifa zinazohitajika kwa malipo maalum kisha wanamalizana na wewe. (Ndo huitwaga wapeleka habari, sijui wapelelezi) kisha Utabaki ushkaji wa kawaida kwa muda mfupi tu wa kupigiana simu kwa sababu maalum. na wewe hata unakuwa hujui kama ulitumiwa. (Wana mbinu maalum za kukupoteza maboya kutokana na mafunzo yao)

Ukiona mtu anajinadi yeye ni TISS na hakupita jeshi huyo anatumika tu wala sio TISS 😊 na hajijui.
 
Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani.

CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania.

Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele.

CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna huko , walokole wanavuna huko, waislamu wanavuna huko lakini kanisa hili maajabu yake ni kwamba haliishiwi waumini.

Bado lina nguvu. Wanazaliwa watoto kureplace wanaokufa na kuhama. Hiyo ndio CCM.

Watanzania watasema mabaya juu ya CCM lakini ikifika wakati wa kupiga kura wanampa mgombea wa CCM with no reason.

I hate CCM ila sioni ikishindwa , sioni namna CCM wanaweza kufail.
CCM (chama Cha matapeli)
 
Back
Top Bottom