Haitatokea CCM kuondoka madarakani kwa sanduku la kura na karatasi. Never. Acha kujidanganya, CCM watatawala mpaka sisi vijana tuwe wazee

Mwamuzi wa Tanzania

JF-Expert Member
Joined
Apr 7, 2020
Posts
15,486
Reaction score
45,256
Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani.

CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania.

Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele.

CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna huko , walokole wanavuna huko, waislamu wanavuna huko lakini kanisa hili maajabu yake ni kwamba haliishiwi waumini.

Bado lina nguvu. Wanazaliwa watoto kureplace wanaokufa na kuhama. Hiyo ndio CCM.

Watanzania watasema mabaya juu ya CCM lakini ikifika wakati wa kupiga kura wanampa mgombea wa CCM with no reason.

I hate CCM ila sioni ikishindwa , sioni namna CCM wanaweza kufail.
 
Ngoja siku JWTZ na Tiss wapate akili ndipo mtakiona cha mtema kuni
 
Mifumo ya kiutawala ndani ya hii nchi haiwezakani kwa namna yyite ile CCM tutoke madarakani,labda aje mtu kama Lissu atumie zaidi ya miaka 5 kuwajaza kuhamisha watu akili na kisha itokee fujo watu wauane,napo utaundwa Serikali ya mseto kama Zanzibar.
Kwa tathimini ya harakka haraka kutokana na hulka za watanzania hawa mazezeta,labda miaka 70 ijayo ndio CCM tutatoka madarakani.
 
Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani.

CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania.

Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele.

CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna huko , walokole wanavuna huko, waislamu wanavuna huko lakini kanisa hili maajabu yake ni kwamba haliishiwi waumini.

Bado lina nguvu. Wanazaliwa watoto kureplace wanaokufa na kuhama. Hiyo ndio CCM.

Watanzania watasema mabaya juu ya CCM lakini ikifika wakati wa kupiga kura wanampa mgombea wa CCM with no reason.

I hate CCM ila sioni ikishindwa , sioni namna CCM wanaweza kufail.
Huu ni ukweli mchungu na hii IPO kwenye ukweli kwamba Ccm sio chama Cha siasa CCM ni chama Dola!
CCM haijajitenga hata kidogo na mifumo yote ya nchi! Kwamba wakuu wa mifumo yote ya nchi ni wanaccm. Inahitaji akili kubwa kujua hili!
 
Ngoja siku JWTZ na Tiss wapate akili ndipo mtakiona cha mtema kuni
Wakuu wa vyombo hivi ni wanaccm kindaki ndaki na hawaoneshi hadharani! CCM inatunga Sheria za kuwalinda dhidi ya uhalifu juu ya binadamu!
Huoni wakuu au wanajeshi wakiteuliwa kwenye nafasi za Siasa za Ccm? Huoni polisi wanavyokingia Ccm kifua Kila mahali na huoni CCM ilivyo na nguvu juu ya vyombo vyote hivyo!
 
Huu ni ukweli mchungu na hii IPO kwenye ukweli kwamba Ccm sio chama Cha siasa CCM ni chama Dola!
CCM haijajitenga hata kidogo na mifumo yote ya nchi! Kwamba wakuu wa mifumo yote ya nchi ni wanaccm. Inahitaji akili kubwa kujua hili!
Na wakuu wa vyama vya siasa upinzani nao CCM pia hili watanzania watambue
 
Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani.

CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania.

Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele.

CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna huko , walokole wanavuna huko, waislamu wanavuna huko lakini kanisa hili maajabu yake ni kwamba haliishiwi waumini.

Bado lina nguvu. Wanazaliwa watoto kureplace wanaokufa na kuhama. Hiyo ndio CCM.

Watanzania watasema mabaya juu ya CCM lakini ikifika wakati wa kupiga kura wanampa mgombea wa CCM with no reason.

I hate CCM ila sioni ikishindwa , sioni namna CCM wanaweza kufail.
Kuna maeneo ccm inanguvu kweli na kuna maeneo ccm haina nguvu na haipendwi kabisa,ila ccm ni chama cha wezi wa kura na kutumia dola kubaki madarakani.
 
Naijua hiyo, upoo sahihii 100%.Sina chama ila najua ivoo pia labdaa Jeshi langu pendwa liamue tofauti.
 
Sasa kama Mbowe tuliyemianishwa ni upinzani wa damu leo kalishwa asali kaunga juhudi unadhani lini ccm itatoka madarakani?
 
Mbowe daaahh
Mwamba anapigiwa kampeni na CCM
 
CCM DAIMA
Umri wangu huu nakaribia miaka 40, nina miaka 25 mbele kustaafu, kama sitaacha kazi basi nitastaafu CCM ikiwa bado madarakani.

CCM kimekamata % kubwa ya Watanzania.

Hata kura zihesabiwe kwa haki kabisa CCM bado wana miaka zaidi ya 20 ya uhai mbele.

CCM ni kama kanisa la RC, wasabato wanavuna huko , walokole wanavuna huko, waislamu wanavuna huko lakini kanisa hili maajabu yake ni kwamba haliishiwi waumini.

Bado lina nguvu. Wanazaliwa watoto kureplace wanaokufa na kuhama. Hiyo ndio CCM.

Watanzania watasema mabaya juu ya CCM lakini ikifika wakati wa kupiga kura wanampa mgombea wa CCM with no reason.

I hate CCM ila sioni ikishindwa , sioni namna CCM wanaweza kufail.
CCM DAIMA SAMIA MITANO TENA
 
Back
Top Bottom