Haitatokea CCM kuondoka madarakani kwa sanduku la kura na karatasi. Never. Acha kujidanganya, CCM watatawala mpaka sisi vijana tuwe wazee

Uitoe CCM uwape hawa CHADEMA walioshindwa kukiongoza chama?
 
Tena kwa hawa Watanzania Wapumbavu Wengi wao Wapenda Simba na Yanga kwa kweli we need to stretch out Mindset bro
 
Ngoja siku JWTZ na Tiss wapate akili ndipo mtakiona cha mtema kuni
Ukisema JWTZ umeshaijumuisha TISS humohumo ndani, hakukuwa na haja ya kuwatenganisha. TISS imezaliwa na JWTZ, ili kuwa usalama wa taifa uliyekamilika ni lazima upitie mafunzo ya jeshi. Na wanafikia mpaka hatua ya kuhitimu mafunzo na kuwa wanajeshi rasmi kabisa. Hapo ndo mnachomolewa na kupelekwa sehemu husika. Kama ni TPDF, sijui TISS, Magereza, n.k

Hawa wengineo wanatumika tu kupeleka taarifa zinazohitajika kwa malipo maalum kisha wanamalizana na wewe. (Ndo huitwaga wapeleka habari, sijui wapelelezi) kisha Utabaki ushkaji wa kawaida kwa muda mfupi tu wa kupigiana simu kwa sababu maalum. na wewe hata unakuwa hujui kama ulitumiwa. (Wana mbinu maalum za kukupoteza maboya kutokana na mafunzo yao)

Ukiona mtu anajinadi yeye ni TISS na hakupita jeshi huyo anatumika tu wala sio TISS 😊 na hajijui.
 
CCM (chama Cha matapeli)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…