Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Kwa tanzania ndiyo hivyoKwahiyo kwa maelezo yako mtumishi wa serikali yupo mahali alipo kwa ajili ya kujipatia kipato tu na si kutoa huduma kwa umma?
Amini amini nakuambia , wapo watumishi wa umma wazalendo wanaofanya kazi kama ibada na kujitolea na wala hawawazi posho na mshahara.
Kama ni Mtumishi wa serikali, aachie kazi akajiajiri, huo ni mtaji toshaKaka angu Ana gar ya milion hyo 60 lkn hategemei mshara kbsa
Safi sana, umenifunza kitu, wengi hawakunielewa mwanzo lengo lango no lipi. Wewe umenielewa vyemaMkuu ajira ni tamu hata nipate shingapi siwezi achia ngazi sababu kubwa ukiachia mshahara na marupu rupu kazi inaleta heshima kwenye jamii yaani hata watoto nao wanaheshimika kupitia kazi ya mshua kwamba watoto wa yule jamaa fulani na hata wewe pambana na biashara ili jamii ikuheshimu vinginevyo utajiona kwanini ulikuja hapa duniani.
Hiyo hela we ungekula miaka mingapi?Kuna mdau nilimuona na macho yangu ananunua gari v8 milioni 216, nilimlaani sana
Mkuu acha kauli za dharau! Mill.60 kwako ni hela ya kashata!Uchizi hivi mnajua mtu anaelipwa M3.3-M5 wanaweza kukopa sh.ngapi, mnajua mafisadi wanaiba ngapi, mnajua kuna watu wana project zenye net balance mgao hadi 50M-100, au mgao wa 25*4 kwa project collective and personal.
Ambao mnavijisent mtulie tu muendelee kujamba milioni 60 pesa gani hio ya kashata tu hiyo.
najenga m10 nanunua gari ya milioni 3 inayobaki naweka uvunguni nachomoa elfu 10 kila siku mpaka nakufaHiyo hela we ungekula miaka mingapi?
Haaaahnajenga m10 nanunua gari ya milioni 3 inayobaki naweka uvunguni nachomoa elfu 10 kila siku mpaka nakufa
Barkhresa hajawahi kuumwa? Mbona yeye biashara zake hazifiUna point
Ila watu wanataka "job security"..
Hata akiumwa .. mshahara guarantee..
Kujiajiri ukiumwa biashara inakufa
Ha ha hanajenga m10 nanunua gari ya milioni 3 inayobaki naweka uvunguni nachomoa elfu 10 kila siku mpaka nakufa
Haiwezekani au haitakiwi?Wakuu habari.
Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi.
Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine.
kwenye ukweli mi nabutua nimesema ukweli with time utajua kikubwa uzima hizo mbanga mbona mtoii kabisa maisha ni yetuMkuu acha kauli za dharau! Mill.60 kwako ni hela ya kashata!
Project gani waweza tengeneza na kulipwa kiasi hicho cha pesa kirahisi rahisi tu?
Toa mfano wa project zinazolipa namna hiyo.
Na je kila mtu anaweza kidhi vigezo vya kupopoa mamillioni kirahisi rahisi tu?
Kama ni hivyo pasingelikuwa na shida ya fedha nchi hii!
Acheni kutia watu presha nyie.
Kwani wewe unaishi kwa mshahara tu! Tafuta HELA, acha uvivu!Kwa mshahara upi ukope hiyo hela. Hata iwe miaka kumi, halafu ubaki na kipi, ule nini.
Ni tabia ya ku-save tu.
Kama unaweka benki angalau 500,000 kila mwezi kwa miaka 10 unanunua gari ya milioni 60.
Ila kama kila mwisho wa mwezi unataka uende mlimani city na watoto zako na wapwa zako sahau kumiliki japo baiskeli.