Haiwezekani Mtumishi wa Serikali umiliki gari ya milioni 60, halafu unaendelea kuwa mtumishi

Haiwezekani Mtumishi wa Serikali umiliki gari ya milioni 60, halafu unaendelea kuwa mtumishi

Kwahiyo kwa maelezo yako mtumishi wa serikali yupo mahali alipo kwa ajili ya kujipatia kipato tu na si kutoa huduma kwa umma?
Amini amini nakuambia , wapo watumishi wa umma wazalendo wanaofanya kazi kama ibada na kujitolea na wala hawawazi posho na mshahara.
 
Kwa tanzania ndiyo hivyo

Ova
 
Kaka angu Ana gar ya milion hyo 60 lkn hategemei mshara kbsa
 
Mkuu ajira ni tamu hata nipate shingapi siwezi achia ngazi sababu kubwa ukiachia mshahara na marupu rupu kazi inaleta heshima kwenye jamii yaani hata watoto nao wanaheshimika kupitia kazi ya mshua kwamba watoto wa yule jamaa fulani na hata wewe pambana na biashara ili jamii ikuheshimu vinginevyo utajiona kwanini ulikuja hapa duniani.
 
Safi sana, umenifunza kitu, wengi hawakunielewa mwanzo lengo lango no lipi. Wewe umenielewa vyema
 
Kuna mdau nilimuona na macho yangu ananunua gari v8 milioni 216, nilimlaani sana
 
Uchizi hivi mnajua mtu anaelipwa M3.3-M5 wanaweza kukopa sh.ngapi, mnajua mafisadi wanaiba ngapi, mnajua kuna watu wana project zenye net balance mgao hadi 50M-100, au mgao wa 25*4 kwa project collective and personal.

Ambao mnavijisent mtulie tu muendelee kujamba milioni 60 pesa gani hio ya kashata tu hiyo.
Mkuu acha kauli za dharau! Mill.60 kwako ni hela ya kashata!

Project gani waweza tengeneza na kulipwa kiasi hicho cha pesa kirahisi rahisi tu?

Toa mfano wa project zinazolipa namna hiyo.

Na je kila mtu anaweza kidhi vigezo vya kupopoa mamillioni kirahisi rahisi tu?
Kama ni hivyo pasingelikuwa na shida ya fedha nchi hii!

Acheni kutia watu presha nyie.
 
Una point

Ila watu wanataka "job security"..
Hata akiumwa .. mshahara guarantee..

Kujiajiri ukiumwa biashara inakufa
Barkhresa hajawahi kuumwa? Mbona yeye biashara zake hazifi
 
Wakuu habari.

Msiseme naingilia maisha ya mtu. Hivi kweli Mtumishi wa Serikali unamiliki gari ya milioni 60 na kuendelea, bado unataka kuwa Mtumishi.

Huo ni mtaji tosha, achia kiti wengine waajiriwe, ukafanye maisha mengine.
Haiwezekani au haitakiwi?

Isingewezekana usingelalamikia, unalalamikiaje kutokea kwa jambo lisilowezekana?
 
Unajua kitu kinaitwa Security.... Guarantee ya end of the month account inajaa...

Watu mmekuwa brainwashed..., ujasiriamali ni mgumu and its not for everyone, inahitaji discipline kujituma na kujinnyima, bila kusahau stress za hapa na pale, lazima ujue ziada inayopatikana hapo its not worth the hassle for everyone...

In short usitumie maisha yako au unachopenda wewe kama SI Unit ya maisha ya kila mtu....
 
Mkuu acha kauli za dharau! Mill.60 kwako ni hela ya kashata!

Project gani waweza tengeneza na kulipwa kiasi hicho cha pesa kirahisi rahisi tu?

Toa mfano wa project zinazolipa namna hiyo.

Na je kila mtu anaweza kidhi vigezo vya kupopoa mamillioni kirahisi rahisi tu?
Kama ni hivyo pasingelikuwa na shida ya fedha nchi hii!

Acheni kutia watu presha nyie.
kwenye ukweli mi nabutua nimesema ukweli with time utajua kikubwa uzima hizo mbanga mbona mtoii kabisa maisha ni yetu
 
Hiii pesa uiweke utt amis liquid ni miaka 7 tuu unayo 60m
Ni tabia ya ku-save tu.

Kama unaweka benki angalau 500,000 kila mwezi kwa miaka 10 unanunua gari ya milioni 60.

Ila kama kila mwisho wa mwezi unataka uende mlimani city na watoto zako na wapwa zako sahau kumiliki japo baiskeli.
 
Tuwe wakweli. Hivi utaachaje kirahisi kazi inayokufanya kumiliki gari ya 60m kirahisi?
 
Back
Top Bottom