Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #281
Mungu hayupo, hizo habari za kuwepo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni hadithi za uongo kuridhisha wasiotaka kuhoji mambo kwa kina kimantiki.
Ukianza kuhoji kimantiki kidogo tu unagundua huyo Mungu katungwa na watu, tena kijingajinga tu.
Umeandika vizuri..no comment
Naona sasa watu wana anza kumwelewa Kiranga anaposema "Mungu hayupo"
Watu wanafunguka kiakili sasa, Ila mwanzoni walikuwa wabishi kweli[emoji23][emoji23]
Watu wanafunguka kiakili sasa wana anza kuku elewa.Mungu hayupo, hizo habari za kuwepo Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote ni hadithi za uongo kuridhisha wasiotaka kuhoji mambo kwa kina kimantiki.
Ukianza kuhoji kimantiki kidogo tu unagundua huyo Mungu katungwa na watu, tena kijingajinga tu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unahofia kwamba ukisema Hayupo kwa sasa huwezi kubarikiwa..Hapo kwenye hayupo bado sijafikia hitimisho, Kwa sasa Acha ibaki yupo,
Kiranga huenda yeye keshafikia Hilo hitimisho lakini Kwangu bado, na safari yangu ya Maisha sijui itanifikisha wapi.
Unajuaje hawezi kuwepo kutokana na uwezo mdogo wa akili zetu, na si kwamba hawezi kuwepo kwa sababu hayupo tu?Mungu ukishaingiza habari za mantiki hawezi akawepo.
Na hui ni Kutokana na upeo mdogo wa Akili zetu wanadamu hauwezi kujadili baadhi ya vitu hasa za MIUNGU.
Mfano unaambiwa Israel ni nchi takatifu harafu kila siku anaua wapalestina[emoji3][emoji3][emoji3] mimi nilishaacha kwenda kanisani, maana kule logic inabidi uiweke pembeni ndo utaendana nao!
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Sijui ni Kitabu kipi kitakatifu unakizungumzia ila kwa biblia hakuna sehemu imeandikwa Shatani ni chanzo cha Dhambi hizi ni story za mitaani zinazofanana na ukweli lakini si ukweliHAIWEZEKANI MUNGU ASIMUUE SHETANI ALAFU AAMURU WATU WAUE WANAOFANYA MAMBO YA KISHETANI; HAIINGII AKILINI!
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani
Kwenye nyumba za ibada tangu tukiwa Watoto tulifundishwa kuna Wahusika Wawili mahasimu, wakwanza anaitwa MUNGU na wapili anaitwa SHETANI.
Mhusika Mungu huyu tuliambiwa ndiye Muumbaji wa Mbingu na Nchi, na ndiye Baba yetu (Chanzo chetu). Huyu tukaambiwa pia ni Mwema, mwenye upendo, nguvu na uweza. Chanzo chake hatujaelezewa, na hata wanaotuelezea habari zake hawajawahi kumuona. Hii ni kumaanisha hawajui anafananaje.
Mhusika Shetani huyu amepewa uhusika mbaya Kwa kusemekana alimuasi Mhusika MUNGU, asili ya Shetani wapo waliosema ni Jamii ya Malaika waitwao Makerubi, ambaye jina lake ni Lucifer. Wakati wengine wakidai Shetani au Ibilisi asili yake ni Kutoka Koo za majinni. Hii ni kusema Shetani ni kiumbe kilichoumbwa na Mungu. Ingawaje Stori hizi mbili hazijakamilika na zinaacha maswali mengi kuliko kilichoelezwa.
Lusifa kama aliasi, aliasi sheria ipi miongoni MWA sheria za Muumba wake huko Mbinguni?
Kabla hajaasi hiyo sheria ilitamka kuwa adhabu ya kuasi ni ipi?
Stori za Shetani zimeanzia juujuu na kuishia juujuu kama Stori za masela WA vijiweni. Yaani Stori imeanzia Kati na kuishi katikati.
Tukirudi kwenye Hoja.
Wasimulizi WA hizi dini zakuletwa na Waandishi wa vitabu vyao ambavyo vimeandika habari za huyo Mungu na Shetani Kwa uchache Mno, wakaja na sheria, ni kama sheria za biashara ya Market zile za Qnet. Unawekeza Kwa Imani pasipo kuuliza maswali yenye kufikiri, ATI hivyo ndio namna ya Kupata faida kwenye biashara.
Vitabu vya Dini vinaeleza kuwa Shetani ndiye chanzo cha dhambi, inakazia zaidi kuwa kila dhambi ifanywayo na binadamu chanzo chake ni Shetani kwani Shetani ndiye anayeshawishi Watu au viumbe kufanya Uasi.
Ukisoma kwenye Quran au Biblia yapo Makosa MTU akifanya anatakiwa kuuawa kama adhabu.
Mfano WA Makosa hayo ni kama kuua, kuwa Shoga au msagaji, kulala na mnyama, kuzini na mama mzazi au Baba mzazi au mkwe au mtoto wako. Kumkufuru Mungu na kuwa mchawi au mshirikina. Na Makosa mengine mengi yenye kustahili adhabu ya kifo Kwa mujibu wa vitabu vya Dini.
Swali linakuja, Ikiwa mhusika Mungu wa kwenye vitabu hivyo vya Dini, aliamuru Watu kuwaua Watu wenzao wanaofanya Makosa au dhambi nzito kama zilivyotajwa, ni Kwa nini huyu Mungu asingeshughulika na Shetani mwenyewe ambaye ndiye anawafanya Watu WAUE, wawe mashoga, na kufanya zinaa chafu ya kiwango cha juu?
Kwa sababu kama kweli Mungu hakutaka Dunia iwe na uovu kama ni kweli Kabisa basi ni dhahiri angedili na chanzo ambacho vitabu vya Dini vinamtaja ni mhusika Shetani.
Haiingii akilini badala ya kumuua Shetani ambaye ndiye chanzo cha Watu kufanya uovu mkubwa, ATI uwaamuru hao Watu wawaue Watu wenzao wanaofanya Matendo ya kishetani yaani wanaomfuata Shetani ambaye wamezaliwa wamemkuta na watakufa watamuacha. Hakuna mantiki kabisa ya Jambo Hilo.
Nafikiri Vitabu vya Dini vinashindwa kueleza ukweli Kati ya huu;
1. Binadamu ndio Shetani wenyewe. Lakini wametafuta Shetani bandia asiyeonekana ili wamsingizie.
Hoja hii haina nguvu Kwa sababu Mwanadamu hawezi kupambana na Mungu au Shetani yaani hawezi kupambana na matamanio yake yaliyomo katika Akili yake. Kwani matamanio na utashi ndio humuongoza MTU.
2. Mungu na Shetani ni Mhusika mmoja. Yaani Mungu ndiye Shetani na Shetani ndiye huyohuyo Mungu.
Vitabu vya Dini vinashindwa kuelezea ukweli huu labda Kwa kuogopa kuyafanya Maisha yataonekana hayana maana. Jambo ambalo nikweli kuwa Maisha ni ubatili.
Kama Mungu ndiye muumba wa yote na muweza WA yote tafsiri yake Ipo wazi kabisa.
Hii ni kusema, Mungu hawezi kumuua Shetani Wakati yeye ndiye huyohuyo Shetani. Na Shetani hawezi kumuua Mungu Wakati yeye ndiye huyohuyo Mungu.
Hoja hii inanguvu Kwa sababu, hata vitabu vya Dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba Mema na Mabaya (ushetani) lakini akamwambia Mwanadamu achague Mema ili aweze kuishi.
Kumaanisha upande mzuri au Mwema wa Muumbaji wetu ndio wanadini waliuita Mungu na upande Mbaya wa Muumbaji wetu wakauita Shetani. Ni kama vile USO na kisogo ambavyo vyote vipo Kwa mhusika mmoja.
Haiwezekani Lusifa Awe Muasi hivihivi, lazima tujiulize huo Uasi ulitoka wapi ikiwa sio Kwa Muumbaji wake? Kwa sababu kiumbe hakina uwezo wa kuumba Jambo lolote liwe zuri au liwe Baya.
Taikon pumzika sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
Sijui ni Kitabu kipi kitakatifu unakizungumzia ila kwa biblia hakuna sehemu imeandikwa Shatani ni chanzo cha Dhambi hizi ni story za mitaani zinazofanana na ukweli lakini si ukweli
Wewe unasemaje mkuu, kwamba hakuna Mungu na chanzo chako ni nyani ambae umestaarabika?HAIWEZEKANI MUNGU ASIMUUE SHETANI ALAFU AAMURU WATU WAUE WANAOFANYA MAMBO YA KISHETANI; HAIINGII AKILINI!

Death is the single most invention to mankindYaani isingekuwa kuzikana watu wenye akili timamu wasingekuwa wanaenda kanisani na misikitini
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38]Haya mambo ya rohoni yanasumbua sana
Ila ijulikane kwamba mambo yote yawe mema au mabaya huanzia rohoni
Nimekuacha kwa muda ila nitakua karibu nafuatilia[emoji28][emoji28][emoji28]
Hili swali sasaNa hapohapo tunaambiwa hakuna wa kusujudiwa ila Mungu, iweje Mungu amuamuru Shetani kumsujudia Adam? Contradictions juu ya contradictions argghhh [emoji51][emoji51][emoji51]
Nitakujibu according to Christian theology which i believe is the only true theology, why i believe it to be true is a topic for another day.HAIWEZEKANI MUNGU ASIMUUE SHETANI ALAFU AAMURU WATU WAUE WANAOFANYA MAMBO YA KISHETANI; HAIINGII AKILINI!
Anaandika, Robert Heriel
Kuhani
Kwenye nyumba za ibada tangu tukiwa Watoto tulifundishwa kuna Wahusika Wawili mahasimu, wakwanza anaitwa MUNGU na wapili anaitwa SHETANI.
Mhusika Mungu huyu tuliambiwa ndiye Muumbaji wa Mbingu na Nchi, na ndiye Baba yetu (Chanzo chetu). Huyu tukaambiwa pia ni Mwema, mwenye upendo, nguvu na uweza. Chanzo chake hatujaelezewa, na hata wanaotuelezea habari zake hawajawahi kumuona. Hii ni kumaanisha hawajui anafananaje.
Mhusika Shetani huyu amepewa uhusika mbaya Kwa kusemekana alimuasi Mhusika MUNGU, asili ya Shetani wapo waliosema ni Jamii ya Malaika waitwao Makerubi, ambaye jina lake ni Lucifer. Wakati wengine wakidai Shetani au Ibilisi asili yake ni Kutoka Koo za majinni. Hii ni kusema Shetani ni kiumbe kilichoumbwa na Mungu. Ingawaje Stori hizi mbili hazijakamilika na zinaacha maswali mengi kuliko kilichoelezwa.
Lusifa kama aliasi, aliasi sheria ipi miongoni MWA sheria za Muumba wake huko Mbinguni?
Kabla hajaasi hiyo sheria ilitamka kuwa adhabu ya kuasi ni ipi?
Stori za Shetani zimeanzia juujuu na kuishia juujuu kama Stori za masela WA vijiweni. Yaani Stori imeanzia Kati na kuishi katikati.
Tukirudi kwenye Hoja.
Wasimulizi WA hizi dini zakuletwa na Waandishi wa vitabu vyao ambavyo vimeandika habari za huyo Mungu na Shetani Kwa uchache Mno, wakaja na sheria, ni kama sheria za biashara ya Market zile za Qnet. Unawekeza Kwa Imani pasipo kuuliza maswali yenye kufikiri, ATI hivyo ndio namna ya Kupata faida kwenye biashara.
Vitabu vya Dini vinaeleza kuwa Shetani ndiye chanzo cha dhambi, inakazia zaidi kuwa kila dhambi ifanywayo na binadamu chanzo chake ni Shetani kwani Shetani ndiye anayeshawishi Watu au viumbe kufanya Uasi.
Ukisoma kwenye Quran au Biblia yapo Makosa MTU akifanya anatakiwa kuuawa kama adhabu.
Mfano WA Makosa hayo ni kama kuua, kuwa Shoga au msagaji, kulala na mnyama, kuzini na mama mzazi au Baba mzazi au mkwe au mtoto wako. Kumkufuru Mungu na kuwa mchawi au mshirikina. Na Makosa mengine mengi yenye kustahili adhabu ya kifo Kwa mujibu wa vitabu vya Dini.
Swali linakuja, Ikiwa mhusika Mungu wa kwenye vitabu hivyo vya Dini, aliamuru Watu kuwaua Watu wenzao wanaofanya Makosa au dhambi nzito kama zilivyotajwa, ni Kwa nini huyu Mungu asingeshughulika na Shetani mwenyewe ambaye ndiye anawafanya Watu WAUE, wawe mashoga, na kufanya zinaa chafu ya kiwango cha juu?
Kwa sababu kama kweli Mungu hakutaka Dunia iwe na uovu kama ni kweli Kabisa basi ni dhahiri angedili na chanzo ambacho vitabu vya Dini vinamtaja ni mhusika Shetani.
Haiingii akilini badala ya kumuua Shetani ambaye ndiye chanzo cha Watu kufanya uovu mkubwa, ATI uwaamuru hao Watu wawaue Watu wenzao wanaofanya Matendo ya kishetani yaani wanaomfuata Shetani ambaye wamezaliwa wamemkuta na watakufa watamuacha. Hakuna mantiki kabisa ya Jambo Hilo.
Nafikiri Vitabu vya Dini vinashindwa kueleza ukweli Kati ya huu;
1. Binadamu ndio Shetani wenyewe. Lakini wametafuta Shetani bandia asiyeonekana ili wamsingizie.
Hoja hii haina nguvu Kwa sababu Mwanadamu hawezi kupambana na Mungu au Shetani yaani hawezi kupambana na matamanio yake yaliyomo katika Akili yake. Kwani matamanio na utashi ndio humuongoza MTU.
2. Mungu na Shetani ni Mhusika mmoja. Yaani Mungu ndiye Shetani na Shetani ndiye huyohuyo Mungu.
Vitabu vya Dini vinashindwa kuelezea ukweli huu labda Kwa kuogopa kuyafanya Maisha yataonekana hayana maana. Jambo ambalo nikweli kuwa Maisha ni ubatili.
Kama Mungu ndiye muumba wa yote na muweza WA yote tafsiri yake Ipo wazi kabisa.
Hii ni kusema, Mungu hawezi kumuua Shetani Wakati yeye ndiye huyohuyo Shetani. Na Shetani hawezi kumuua Mungu Wakati yeye ndiye huyohuyo Mungu.
Hoja hii inanguvu Kwa sababu, hata vitabu vya Dini vinaeleza kuwa Mungu aliumba Mema na Mabaya (ushetani) lakini akamwambia Mwanadamu achague Mema ili aweze kuishi.
Kumaanisha upande mzuri au Mwema wa Muumbaji wetu ndio wanadini waliuita Mungu na upande Mbaya wa Muumbaji wetu wakauita Shetani. Ni kama vile USO na kisogo ambavyo vyote vipo Kwa mhusika mmoja.
Haiwezekani Lusifa Awe Muasi hivihivi, lazima tujiulize huo Uasi ulitoka wapi ikiwa sio Kwa Muumbaji wake? Kwa sababu kiumbe hakina uwezo wa kuumba Jambo lolote liwe zuri au liwe Baya.
Taikon pumzika sasa.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Dar es salaam
How about the existance of jesus christ, do you believe on it?Hapo kwenye hayupo bado sijafikia hitimisho, Kwa sasa Acha ibaki yupo,
Kiranga huenda yeye keshafikia Hilo hitimisho lakini Kwangu bado, na safari yangu ya Maisha sijui itanifikisha wapi.
Kama Mungu angelikuwepo kweli bhasi tungelikiwa tushaweza Kummaliza. TotallyNakuona moyo wako una uchungu kama nyongo, kwa uchungu huo moyo wako umejaa kufuru kwa kudhani kuwa kukufuru huko kutapunguza maumivu na uchungu wa moyo wako!! Unaikalia hukumu ya kutisha ya MUngu ambayo nafsi yako inajua kabisa kuwa unastahili hukumu!! Lakini nina habari njema kwa ajili yako!! ni kwamba YESU anakupenda na yuko tayari kukusamehe dhambi zako zote kama ukikubali kuja kwake na kutubu uovu wa moyo wako wote! Ukitubu na kumkaribisha Yesu kwenye moyo wako atakusamehe dhambi zako zote na ataingia moyoni mwako kama Bwana na Mwokozi wa maisha yako!! Atakupa furaha, amani na burudiko la moyo ambalo hujawahi kulipata japo umelitafuta sana!! Vinginevyo hayo makufuru utowayo kwa muumba wako hayatakusaidia siku ya hukumu ambayo dhamiri yako inakushuhudia daima kuwa unastahili hukumu!!
Kama uko tayari kutubu omba kwa dhati sala hii ya toba: Bwana Yes, naja kwako, mimi ni mwenye dhambi. Ninakuomba unisamehe dhambi zangu zote ninazozijua na nisizozijua, ninazozikumbuka na ambazo sizikumbuki. Tangu sasa namkataa shetani na kazi zake zote. Ninamkubali Yesu na kumkaribisha moyono mwangu awe Bwana na Mwokozi wa maisha yangu. Bwana Yesu naomba ulifute jina langu kwenye kitabu cha hukumu na uliandike kwenye kitabu cha uzima. Asante Yesu kwa kunisamehe na naomba unipe nguvu ya kuishi maisha matakatifu. Ninaomba katika Jina la Yesu-Amina..
Kama umeomba sala hiyo ya toba kwa moyo wa dhati, haya ndiyo maombi yangu kwa ajili yako: Baba katika Jina la Yesu Kristo, namleta kwako ndugu huyu aliyetubu mbele zako. Ninaomba mkono wako wa uweza umguse na damu yako ya thamani imwoshe dhambi zote. Namwombea rehema zako zilizo nyingi sana! Ninavunja nguvu za giza ndani yake kwa Jina la Yesu Kristo, na minyororo ya uovu iliyomtesa kwa miaka mingi ikatike na awe huru kukuabudu na kukutukuza. Yalinde maisha yake tangu sasa na ujidhihirishe kwake katika namna utakayoona vema. Ninaomba katika Jina la Yesu -Amina.
Nenda zako kwa amani na Mungu akubariki. Nakukaribisha kwenye kanisa la TAG (Tanzania Assemblies of God lililo karibu na wewe kwa msaada zaidi na mafundisho. Nenda kajitambulishe hapo na Mungu atakubariki!!