Haiwezekani Mungu asimuue Shetani halafu aamuru Watu waue wanaofanya mambo ya kishetani; Haiingii akilini

Sijasema Mungu hayupo Mkuu.
Najaribu kueleza kuwa Shetani na Mungu ni mhusika mmoja katika kazi mbili kinzani kama vile kisogo na uso
Sina maana hyo ila tambua ni mtihani kama hivyo na shetani katika dunia hii basi yupo kwenye ulimwengu wa kiza ambao ndo huo kuna washirikina watu wanaenda kujipatia mpaka utajiri ila masharti mengi yanakuwa ni against na kawaida yetu ( au tusema yanakuwa kinyume na Mungu).

Ndo hata mwalimu anayefundisha mwisho wa siku anatoa test kupima uwezo wa watoto kwa nn asifanye mwenyewe test maana yeye ndo anae wafundisha? Maana ukiwapa test ndo hapo kuna watakaofaulu na wengi watapiga zero
 
Shetani anatoa wapi nguvu na utajiri?

Jibu lako ndio litahitimisha mada Hii kuwa Muumbaji ndiye huyohuyo Mungu na Shetani katika uhusika mbili tofauti ndani ya mhusika mmoja
 

Mkuu kumbe umesoma mpaka makerere?😀😀
🙏🏾🙏🏾
 
Anayepima ndie huyo huyo mungu ila hakuna mwingine tenaa
 
Safi sana, hapo umesema penyewe, ni kama pande mbili za sarafu kuna kichwa na mwenge, nami natoa conclusion kuwa Mungi ni shetani, na shetani ndiye mungu mwenyewe, kama ni uongo basi shetani ni kiumbe mzuri na mwenye nguvu kuliko mungu, lakini mungu analeta figisu tu
Kwa bwana shetani.
 
Shukrani Sana Mkuu
Jaribu kusoma Tao Te Ching chapter 74 (fupi sana) utapata jibu halisi la unachojaribu kujibu/kuuliza kwenye uzi wako.

Ili kuweka rekod sawa nitaquote hio chapter hapa chini.

"
When people do not fear death,
There is no use to threaten them with death.

If people value their lives, and those who break the law were being executed,
Then who would dare to commit criminal act?

The life and death of all beings are handled by the executioner of Nature.

Those who substitute the nature executioner to kill,
Is like replacing the master carpenter to chop the wood.

One who substitutes the master carpenter to chop the wood, may easily hurt his hands.

"
 
Shetani hajawahi ku exist
Kwani mungu ana exist, au unaongelea mungu gani cause kuna miungo wengo toka enzi za zama za mawe za kale mpaka sasa, wazee walikuwa wanaabudu miungu sijui ndio mashetani na kila walichoomba walikipata.
 
Nakubaliana na wewe ila huwa wana kamsemo wanadai kuwa ni kawaacha wote na huyo shetani kwa makusudi tu ila mwisho wa yote tutakutana tu na mungu mwenyewe kwenye Qiyamah
 
Shetani anatoa wapi nguvu na utajiri?

Jibu lako ndio litahitimisha mada Hii kuwa Muumbaji ndiye huyohuyo Mungu na Shetani katika uhusika mbili tofauti ndani ya mhusika mmoja
Shetani ana vipawa katika level ya juu kama malaika so anacho kipawa kikubwa kikubwa kama daraja la malaika ...Chanzo ni kudharau kumsujudia mwanadamu ambaye kwa kuumbwa kwake na kuona uwezo wa vipawa vya binadamu akadharau akaona hana uwezo wa kumsujudia dongo...Kitu ambacho hajui mwanadamu alipewa kipawa cha "AKILI" na "MATAMANIO" chini ya nafsi ili kujua lip baya na lip xuri...Ndo maana Mtume alilazimishwa kusoma kwa vile alipewa akili kama binadamu wengine.

Binadamu ana kipawa cha akili pamoja kuongoza wanyama na vitu vyote vilivyopo ardhini na majini ila kiakili ndo maana binadamu anajua uwezo wa wanyama wa bahari kwa kufanya utafiti pia anaweza kumvua hata mnyama mkali kama papa hata nyangumi akiamua ,Na wanyama hata simba unakuta kakamatwa kawekwa kweny zoo na binadamu....Angalia tu neema ya ngo'omb wakubwa hata 10 unaweza kukuta wanapelekwa machungani na kijana mdogo mfani jamii za wamasai.


Wanyama hawa hawana akili ndo wlaivyoumbwa hata baadhi yao wengi wanaweza kuzaa na wazazi wao ...wapo wapo tu duniani ndo level ya kipawa cha ila Mungu anawapa uwezo mdogo wa kujitafuria riziki na makazi na pia akatengeneza mtegemeano (Food web) iliw waweze kukizi vyakula vyao kutoka kwa wanyama wenzao , misituni (nyasi)au binadamu ( mazao waolima)
 
Dogo unaenda kasi sana. Jitahidi kupunguza kasi utakuja changanyikiwa kabla hujafikisha miaka 30.
Huyu jamaa ni mfikiriaji mzuri lkn tatizo lake ni moja tu. I mean No offense Robert Heriel Mtibeli

Akipata maswali anajaribu kujibu kwa kufikiria yy mwenyewe, hasomi zaidi wataalam wengine wameandikaje kuhusu anachojiuliza/kufikiria muda huo.

Mie msomaji wake sana, 70% ya anachodhan ni swali jipya kujiuliza huwa naona lishapatiwa majibu na baadhi ya wanazuoni.

So read more Mr Robert
 
Anayepima ndie huyo huyo mungu ila hakuna mwingine tenaa
Mzee baba 😂😂 uchawi unatoka wapi kwa mfano? na hata biashara zinaminiwa kweny uchawi..


Hao ni viumbe wa binadamu unaweza kubisha hata Allien wapo watu wanabisha kwamba hawapo dunia ina mengi hatupo pekee wanadamu.
 
Hapana sijasoma Makerere nimepita MIT kidogo tu miaka miwili nikarudi bongo. Nimepata ka exposure kadogo kupitia Seminary (8 years) na kusoma vitabu vingi. Ndio maana huwa siyumbishwi kifara.

Vizuri Sana Mkuu.
Unajua haya mambo ni magumu na wengine waliokuwa kwenye utawala wanayafanya kuwa magumu Kwa maslahi Yao.

Mwanadamu amepewa Giza na Nuru, Wema na ubaya, achague Mwenyewe.
 
Nakubaliana na wewe ila huwa wana kamsemo wanadai kuwa ni kawaacha wote na huyo shetani kwa makusudi tu ila mwisho wa yote tutakutana tu na mungu mwenyewe kwenye Qiyamah
Huyo mungu anawaacha watu wanapata tabu huku yeye akiwa anafurahi, lakini mtu huyo masikini akienda kumlilia shetani na akifanikiwa huyo mungu ananza wivu, na kama angekuwa na nguvu kwanini amwache bwana shetani atuharibie huu ulimwengu, na kwanini alimuumba na wakati tulifundishwa mungu anajua mambo yajayo, hakika huyo mungu ni batili ni bora nikaabudu kitu ninacjokiona na kinatenda.
 
Ndio maana naamini mambo ya Yesu ni mchongo mkali wa Wazungu ili kuwatishia watu waishi kwa amani. Hakuna Mungu wa kweli anaemtoa mwanae kafara!!!! Ni kwa nini asiseme tu neno na mambo yakatimia? Afanye kama binadamu wanavyofanya? You people, come out from the cave! Rudi kwenye asili yako ya imani. Unakuta Mwafrika anamuomba mtakatifu Fulani wa Kiitaliano eti amuombee kwa Mungu! Huyo Mwitaliano unamfahami? Omba kupitia mababu zako!! Shwaini!!
 

Mkuu inaeleza vizuri Kabisa.
Sasa tururdi kwenye swali la msingi.
Shetani vipawa vyake, nguvu zake, Akili zake, na kila Aina ya uwezo wake anautoa wapi?
 
Napenda Oriental philosophy, Lao Tzu, Confucius, Buddha, Mencius, Zhuang Zhou, Sun Tzu, Tao Te Ching nimesoma sana vitabu vyao.

Nadhani ndio maana nimekuwa enlightened
 

Mkuu mpaka umetutukana asee!
 
Shetani yupo makka kwenye jiwe jeusi kule ndugu zetu wanaendaga kumpiga na mawe wanakanyagana hadi wanauana wao kwa wao,,,,na kumbukumbu za Yesu kristo zipo israel huko na vatican,,,Watakatifu ni wao weupe,,,,Manabii wale wawili ni wakwao watu weupe,,, sehemu takatifu zipo kwao,,,Malaika pia ni weupe!!Waafrika tuna shida asee!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…