Haiwezekani ndio naamka mniambie bado matokeo hayajatoka. CHADEMA ndio nini hiki

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
28,297
Reaction score
68,017
Mpo salama!

Nimeamka zangu!
Hata sijaomba!
Hata sijaenda washroom!
Hata sijafanya lolote!

Jambo la Kwanza naomba Simu niangalie nini kimejiri huku CHADEMA. Kumbuka Mimi ratiba yangu ya Kulala ni saa tatu unusu.

Nilitegemea Kupata matokeo, nashangaa bado!
Hii ni nini Aiseeh!

Yaani Kura za watu wasiofiks elfu mbili ndio zitumie siku nzima.
Hapana aiseeh!

Nimepewa taarifa Lisu ameshinda kwa asilimia 52
Mbowe 47

Haya
 

Uzi tayari πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Wenzako wamekesha wa damu damu
 
Halafu unataka maisha bora

Wewe ulale, wengine wakuhangaikie na kuja kujieleza kwako

Crap
 
kwahiyo ndoto yako inatufundisha kwamba tukiamka tu cha kwanza ni Kumshukuru Mungu kisha mengine yafuate,

vinginevyo utajikuta unajipotosha mwenyewe kwa fefheha ya kiwango cha juu sana πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…