Haiwezekani ndio naamka mniambie bado matokeo hayajatoka. CHADEMA ndio nini hiki

Mpo salama!

Nimeamka zangu!
Hata sijaomba!
Hata sijaenda washroom!
Hata sijafanya lolote!

Jambo la Kwanza naomba Simu niangalie nini kimejiri huku CHADEMA. Kumbuka Mimi ratiba yangu ya Kulala ni saa tatu unusu.

Nilitegemea Kupata matokeo, nashangaa bado!
Hii ni nini Aiseeh!

Yaani Kura za watu wasiofiks elfu mbili ndio zitumie siku nzima.
Hapana aiseeh!

Nimepewa taarifa Lisu ameshinda kwa asilimia 52
Mbowe 47

Haya
Unaomba simu?kivipi uombe simu yako bro
 
Unataka kuniambia odero ana 1% haiwezekani
 
Mpo salama!

Nimeamka zangu!
Hata sijaomba!
Hata sijaenda washroom!
Hata sijafanya lolote!

Jambo la Kwanza naomba Simu niangalie nini kimejiri huku CHADEMA. Kumbuka Mimi ratiba yangu ya Kulala ni saa tatu unusu.

Nilitegemea Kupata matokeo, nashangaa bado!
Hii ni nini Aiseeh!

Yaani Kura za watu wasiofiks elfu mbili ndio zitumie siku nzima.
Hapana aiseeh!

Nimepewa taarifa Lisu ameshinda kwa asilimia 52
Mbowe 47

Haya
Tulia kaka kura zinahesabiwa moja moja kama biashara ya samaki
 
Back
Top Bottom