Haiwezekani ndio naamka mniambie bado matokeo hayajatoka. CHADEMA ndio nini hiki

Haiwezekani ndio naamka mniambie bado matokeo hayajatoka. CHADEMA ndio nini hiki

Ngoja tumalizane naona unazunguka sanaa, mimi ni mtu mzima, moja kati ya haya ni sahihi

1.Ulishikiwa simu na mkeo.
2.Unalala ukutani, mkeo analala mwanzoni
3.Uliweka simu chaji kwa jirani
4.Ulimpa mtoto simu.

Chagua jibu sahihi.

Hakuna jibu hapo Mkuu
 
Back
Top Bottom