Haiwezekani ndio naamka mniambie bado matokeo hayajatoka. CHADEMA ndio nini hiki

Haiwezekani ndio naamka mniambie bado matokeo hayajatoka. CHADEMA ndio nini hiki

Huu ni muda wa Chadema Kama chama kuruhusu muelekeo mpya chini ya Uongozi mpya. Lissu sauti ya watu.
 
Kama kuna mtu ulibet nae ushamkula hela Lissu kapata kula 510+ hizi nimesabu kwa macho yangu pasi kuhadithiwa
 
Back
Top Bottom