Haiwezekani ndio naamka mniambie bado matokeo hayajatoka. CHADEMA ndio nini hiki

Haiwezekani ndio naamka mniambie bado matokeo hayajatoka. CHADEMA ndio nini hiki

Mbowe ni muhimu kwa wafanyabiashara na watu ambao tayari Wana msingi ambao kwenye nchi ni asilimia 5% tuu.

Wakati Lisu ni wale wa mfumo wa jpm ingawaje yeye atatumia zaidi Sheria


Nchi yetu na siasa zetu hazitaki watu kama Lissu, huo ndio ukweli ingawa mchungu sana kuukubali, matokeo yatakushangaza sana, nchi hii ngumu mitandao isikudanganye
 
Wakuu habari

Nisiongee sana sijalala tangu jana kura za wajumbe 1200 tu zimeifanya Chadema imekesha.

Walishindwa kupanga ratiba nzuri ya matukio katka jambo lao muhimu kama hili wakamaliza mapema nadhani hata wakipewa nchi wataharibu tu.

Kupiga kura na kuhesabu kura na hata kama kuna kunadi wagombea huwezi kutumia Zaidi ya masaa 14, kiufupi hawa viongozi ni wajinga na wapumbavu.
Utakuwa ni mtu wa ajabu sana
Tunalalamikia kuiba kura (fraud, cheating); uchaguzi umeenda vizuri, na kura hazikuibwa hata ingechukua masaa 100 lakini process ni valid. For the First Time in Tanzania - no foul play
2. Katiba imefuatwa, tatizo la muda ni technology, Tanzania problem, umasikini; siyo tatizo la Chadema. CCM ndiyo wemesabbisha yote haya, backwardness, na umasikini.

Thank God; For Democracy, Chadema Did well !!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nchi yetu na siasa zetu hazitaki watu kama Lissu, huo ndio ukweli ingawa mchungu sana kuukubali, matokeo yatakushangaza sana, nchi hii ngumu mitandao isikudanganye

Watawala ndio hawataki watu wenye Itikadi za kimagufuli, Kilisu na watu kama hao.

Mtu kaweka biashara zake zimesimama, kajenga miradi yake ambayo anauhakika Mpaka vilembwe vitapata ulete mtu kama Lisu alafu kiutaniutani achukue nchi unafikiri hizo biashara kama zina makandokando zitaendelea kuwepo?

Hapo ndipo wafanyabiashara na matajiri wa pande zote bila kujali dini Zao, makabila Yao, Itikadi Zao wataungana kukabiliana na Jambo hilo
 
Back
Top Bottom