binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
I am in! I am in! Tutawakaribisha na timu jirani, bill juu yao. 🤣Nafurahi kusikia hivyo. Na kukuona mwaka Mpya
Kwa kweli bado Nina presha hapa.
Tukishinda jioni tutatafuta sehemu ya kusherehekea. Napendekeza iwe maeneo ya kigamboni
I am in! I am in! Tutawakaribisha na timu jirani, bill juu yao. 🤣
Happy new year!
Hata uchaguzi mkuu haujawahi kufuatiliwa kama unavyovuatiliwa uchaguzyi huu wa CHADEMA.
Huu ni muda wa Chadema Kama chama kuruhusu muelekeo mpya chini ya Uongozi mpya. Lissu sauti ya watu.
Kwamba wajumbe wamefanya yao ?Mtani najua unatamani Sana Mbowe ashinde lakini naomba upokee tuu pole zangu
kula? 🤭Kama kuna mtu ulibet nae ushamkula hela Lissu kapata kula 510+ hizi nimesabu kwa macho yangu pasi kuhadithiwa
Kwamba wajumbe wamefanya yao ?
Mwamba kwisha habari yake pombe na nyama wamekunywa na kura wamemnyimaHatari sana