Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa

Kwani uliitwa ,uchaguzi ulishaisha siasa na mpira ni vitu viwili tofauti ..Wasuse mara ngapi mbona wamerudi ? walisusia wasanii mbona wamerudi ? acheni chuki usitaje mwingine


Mpaka leo mnapiga tone tu tone ,wakati wenzenu mechi moja wanakusanya pesa zote .
Acheni kudanganywa na wapori pori kama Heche ,wameshazoea kuchunga ng'ombe.
 
Hamna siasa ni mawazo yalo
 
😅😅Ona ulivyokuwa mjinga ,simba sio siasa ,unadanganywa hiyo sio kazi yao...😅😅Uliona timu ipi duniani ikawa inazuia utekaji?

Mtu atoke huyo Mara anawadanganya ,ushamba huu
 
Heche ameongea ukweli! Yeye Manara na CHAWA wenzake ndiyo wapuuzi.

Mimi ni shabiki wa Yanga, na ninatambua fika ccm imejipenyeza kwenye kila uongozi unaopita wa timu. Ukienda simba nako mambo ni

Acha unafiki wewe.Kila ikitajwa CDM msamba unaanza kukuwasha na kushabikia hata maujingajinga.
Lugha za kiCHADEMACHADEMA hizi.
Elewa tu soka liko juu mara dufu kuliko hizo siasa za CHADEMA. Ht leo hii CDM wazunguke nchi nzima kushawishi watu kususia soka wataishia kuaibika tu
 
😅😅Ona ulivyokuwa mjinga ,simba sio siasa ,unadanganywa hiyo sio kazi yao...😅😅Uliona timu ipi duniani ikawa inazuia utekaji?

Mtu atoke huyo Mara anawadanganya ,ushamba huu

..umemsoma vizuri mtoa mada?

..Yanga na Simba zilitoa mchango mkubwa wakati wa harakati za kudai UHURU.

..sasa watu wanauliza nini mchango wa klabu hizi kubwa ktk harakati za kizazi hiki za kudai HAKI?
 
Manara alikimbia chama cha kijani na kuhusishwa na utapeli ndio akaingia kwenye mpira baada ya kutoka huko anatafuta sehemu za kushika sio wa kumuamini sana yule mwamba ni muhuni tu anaangalia sana fursa kuliko Uzalendo halisi.
 
..umemsoma vizuri mtoa mada?

..Yanga na Simba zilitoa mchango mkubwa wakati wa harakati za kudai UHURU.

..sasa watu wanauliza nini mchango wa klabu hizi kubwa ktk harakati za kizazi hiki za kudai HAKI?
CHADEMA imetoa mchango upi 😅😅zaidi ya kuomba omba wananchi masikini ,nchi ilikuwa tulivu walivyofukuzwa na Magufuli.

Huyu mother wa watu ,akatoa posho zake ili warudi wajenge nchi ,walikuwa wote hawapo nchini ,walishaomba hifadhi mpaka familia zao .. Kiufupi ,mother anajuta kufadhili hao wasiokuwa na shukrani . Hayana shukrani majitu ya bara hata robo ,bora hata ufunge mbwa.

Leo wanataka kumpindua ,unajua kupindua serikali wewe ? au bado mjinga unaamini kukikunikisha ni harufu nzuri ,huyu ndiye mwenye akili anayekataa uchaguzi na kusema atakinukisha ,halafu mahakamani anasema "kunukisha harufu nzuri" ..Hiyo ndiyo elimu anayosifiwa nayo 😅😅basi siwezi kumpeleka mwanangu kusoma huo ujinga.
 
Kwamba Haji anahisi anaweza kupeleka mashabiki anavyoweza?
Msuse mara ngapi? CHADEMA michango imefika wapi ?😅😅Usifikirie watu wanafuga chuki ,zinaumiza ..Mondi anapiga show fresh ,na wasanii wanatoa ngoma fresh ,mmekata pumzi ..Rudini kulima sio fani yenu kuongoza nchi ,hata babu zenu hawakuwahi kupambania uhuru ,tulieni mchunge 😭
 

..Mama alianza vizuri lakini hapa juzi kati amekengeuka.

..Waliomshauri Mama aachane na 4R, badala yake ajiegemeza kwa vyombo vya dola, na kutumia mabavu, ndio wakulaumiwa.

..Tume ya Jaji Chande imeeleza kwamba chanzo cha vurugu za OCT 29 ni kupuuzwa kwa muda mrefu kwa madai ya Katiba Mpya, na uchaguzi huru na wa haki.

..Madai kwamba kulikuwa na jaribio la mapinduzi ni kutaka tu kujisafisha na kashfa ya mauaji ya kihistoria yaliyofanywa na Mama na genge lake.
 
Nani anayesema ya kuwa Heche na Lisu wanapigania haki? Kwa Nini ulazamisha mpuuzi heche anapigqnia haki? Haki Ili? Ya kutukana watu.?
 
Nyie hamna fadhila ,jino kwa jino
 
Nani anayesema ya kuwa Heche na Lisu wanapigania haki? Kwa Nini ulazamisha mpuuzi heche anapigqnia haki? Haki Ili? Ya kutukana watu.?

..Sasa unaleta ubishi usio na faida.

..huwezi kumtenganisha Lissu na kutetea haki.

..ndio maana imekuwa shida kwa Mama na genge lake kutamka neno haki.
 
Hivi huyu Manara amewahi kupaza sauti kukemea ya October 29, utekaji na yanayo endelea nchini? Au yeye yupo Kwa ajili ya kuwafulahisha ma Bwana zake!
Pia tuikatae Simba kwakua wanavaa tisheti nyekundu na nyeupe ambazo ni rangi zetu CHADEMA wakati atujawai kuona wakikemea utekaji na kukamtwa kwa Lissu.
 
Kama alishika bunduki kioneshe picha yake? kama wajinga ,muue polisi wao waangalie tu kwani hawana familia .

..Kwani tunapompongeza Mama kwa ujenzi wa reli, shule, hospitali, tulimuona amebeba karai la zege?

..Mama ndiye Amiri Jeshi Mkuu.

..Polisi wakifanya mema Amiri Jeshi ndiye anayepongezwa.

..Polisi wakifanya mambo ya hovyo Amiri Jeshi anabeba lawama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…