Haji Manara aendelea Kumkalia Kooni Heche baada ya kusema Simba na Yanga zinatumiwa kisiasa

Ulimuona akiwa field ? acheni porojo kwenu..Walipeni polisi waliokufa uhai wao kwanza .
 
Huyu anafamahau October 29 walikufa watu muhimu kuzidi huo upumbavu unaitwa mpira haya hatwambie hiyo wizara ya michezo inaingiza mapato kiasi gani kwenye nchi mpaka tupuuze mambo ya msingi stupid
 

Pesa ya mtu anayotoa kwa moyo wake inakuhusu nini hiyo inakuuma kuzidi kodi zinazokamuliwa kwa mama ntilie na kuishia mikononi mwa wahuni kununua bunduki na kupiga risasi watoto wadogo kwa kudai haki zao ambazo zipo kikatiba stupid
 
Pesa ya mtu anayotoa kwa moyo wake inakuhusu nini hiyo inakuuma kuzidi kodi zinazokamuliwa kwa mama ntilie na kuishia mikononi mwa wahuni kununua bunduki na kupiga risasi watoto wadogo kwa kudai haki zao ambazo zipo kikatiba stupid
Simba na Yanga ikakuhus nn kama sio payo , haujui hata unaongea nn ..Kijana nenda ukalime ,hujui hata mada imetokea wapi ,uliona simba na Yanga viongozi wao wakiitaja CHADOMO?

Punguzeni shobo ,fanyeni kazi uchaguzi ulishaisha sasa fanyeni kazi .😅
 
Manara hana uwezo wa kumjibu heche

Ni moja tuu wa vichawaa

Heche ni .Mashine

Akiongea

Watu kibao wanaamka kumjibu sio mawaziri uchwara sio vichawa sio ccm

Sio sijui nani

Kuna hali ngumu sana hadi MANARA

NASEMA TENA HECHE NI MASHINEE
 
Kwani wamekatazwa ? Hauna guts za kushambulia timu za mpira ,simba ni kubwa kuliko CHADEMA ,usifananishe simba na ujinga kama CHADEMA...kuna watu wanalipwa ,wanalipa kodi ,CHADEMA wanachangia nn? mtaji wao porojo tu .

Kuna club ya mpira yoyote iliyokemea mauaji ya October au kutoa salamu za pole au waliokufa hamna mashabiki zao club za mbogo zinazidiwa na brand ya Davido kwa kukemea mauaji kuna club hapo uchafu
 
Kuna club ya mpira yoyote iliyokemea mauaji ya October au kutoa salamu za pole au waliokufa hamna mashabiki zao club za mbogo zinazidiwa na brand ya Davido kwa kukemea mauaji kuna club hapo uchafu
Wao ynawahusu nn ? elewa kisheria hayo ni mambo ya kisiasa... Hauwezi kumlaumu ,mtu lumbuka yale ya kenya 2007 ,ulikuwa bado unachunga...Sasa mpaka leo hakuna aliyekamatwa na huyo Ruto alikuwa anasemwa kama hivi ila leo anatamba😅
 
Haji bwabwa na uchawa unamfanya kuwa bwabwa mwehu.
 
Hovyo kabisa. Kwahiyo, Chadema ikiingia madarakani Simba na Yanga zitapigwa marufuku? Halafu mnadai Chadema inapendwa nchi hii? Labda na vichaa maana hata Mwenyekiti na Makamu Mwenyekiti ni vichaa!
Jizi na lipenda rushwa limepost
 
Kaangalie na muongeaji wenu ,anayponda timu za mpira ,yale meno unawezaji kumuangalia?
Mimi sina mtu wangu au mtu wetu popote ila niko kwenye suala na hao wengine unaowasema na huyo kizeruze nani mla ugoro, tuchukue reference ya aftermath ya ubwiaji ugoro ambayo ni meno.
Kizeruze huyo ni laana kwa nchi.
 
Kombe la dunia hawafui dafu, kelele tu na kutupiana mipasho!
 
..Sasa unaleta ubishi usio na faida.

..huwezi kumtenganisha Lissu na kutetea haki.

..ndio maana imekuwa shida kwa Mama na genge lake kutamka neno haki.
Haki Gani anayoitetea? Baada ya kuwa kibaraka.
 
Manara hana uwezo wa kumjibu heche

Ni moja tuu wa vichawaa

Heche ni .Mashine

Akiongea

Watu kibao wanaamka kumjibu sio mawaziri uchwara sio vichawa sio ccm

Sio sijui nani

Kuna hali ngumu sana hadi MANARA

NASEMA TENA HECHE NI MASHINEE
Heche ni mropokaji TU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…