Obugwa Izoba
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 10,033
- 10,622
Faini Ni moja pia ya vyanzo vya mapato vya TFF . Kwa hiyo nayo inaingia kwenye fuko lile lile.Tayari habari iko kila mahali juu ya maamuzi ya kamati ya maadili ya shirikisho la mpira wa miguu Tanzania kumfungia msemaji wa Yanga kujihusisha na soka ndani/nje ya nchi pamoja na FAINI YA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI 20
Nataka wanamichezo tujadili kidogo hapa, hii MILIONI 20 inakwenda kwa nani, na inakwenda kufanya nini?
Inakwenda kwa anayedaiwa kutukanwa Rais wa TFF, Bwana Wallace Karia au inakwenda pale TFF
Au hii ni sehemu ya kitega uchumi cha TFF?View attachment 2298544
Wangetangaza Ijumaa kutoa muda mzuri kusheherekea weekendMsemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh milioni 20
Manara amekumbwa na adhabu hiyo kutokana na sakata lake na Mwenyekiti wa TFF
View attachment 2298517
====
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemfungia Msemaji Klabu ya Yanga, Haji Manara kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh. milioni 20
Amekutwa na hati kwa makosa ya kumvunjia heshima Rais wa TFF, Wallace Karia kwenye fainali ya ASFC kati ya Yanga na Coastal Jijini Arusha
View attachment 2298509
Msemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh milioni 20
Manara amekumbwa na adhabu hiyo kutokana na sakata lake na Mwenyekiti wa TFF
View attachment 2298517
====
Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemfungia Msemaji Klabu ya Yanga, Haji Manara kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh. milioni 20
Amekutwa na hati kwa makosa ya kumvunjia heshima Rais wa TFF, Wallace Karia kwenye fainali ya ASFC kati ya Yanga na Coastal Jijini Arusha
View attachment 2298509
Hukumu hatoi Karia. Ila ukumbuke Haji ana vimeo vingi hapo TFF,alishaadhibiwa mara kadhaa akiwa Simba,kwa hiyo ni mkosaji mzoefu hoja ambayo inakuwa na mashiko kwenye kutoa hukumu. Lakini pia ni blessings in disguise,wamewaondoleeni hicho kirusi, ngoja akauze magodoro. Anarudishwa Nugaz.Huyu Wallace Karia naye anajifanya kama mungu mtu pale TFF. Kila anayemkosoa basi lazima amshughulikie ipasavyo.
Halafu mtu mwenyewe kwanza siyo mzawa! Hajawahi kucheza mpira wa miguu ligi yoyote ile! I wish wachezaji wa zamani waangalie namna ya kuirudisha TFF mikononi mwao.
Mwandishi wa kituo gani?Manara ataendelea ku uzungumzia mpira kama mwandishi na si kama Kiongozi.
Hassan Bumbuli ameshaanza sherehe huko kitaaWangetangaza Ijumaa kutoa muda mzuri kusheherekea weekend
Umemsahau na Jemedari njaakalihatari!Naye atakuwa muda huu amekenua tu mdomo.Hapa lazima OKW BOBAN SUNZU ajichekeshe chekeshe
Tena alikuwa ni mhamasishaji wa GSM! Maana Afisa Habari wa Yanga anafahamika fika ni Hassan Bumbuli.Nani kakwambia haji Manara ni msemaji wa Yanga? Yule alikuwa mhamasishaji tu!!
faini wanayopigwa vilabu na wachezaji huwa inaenda wapi,si inaenda huko huko TFF,sasa manara kumtukana Karia tena uwanjani ni kama kuitukana taasisi kabda ingekuwa nje ya kiwanjaTayari habari iko kila mahali juu ya maamuzi ya kamati ya maadili ya shirikisho la mpira wa miguu Tanzania kumfungia msemaji wa Yanga kujihusisha na soka ndani/nje ya nchi pamoja na FAINI YA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI 20
Nataka wanamichezo tujadili kidogo hapa, hii MILIONI 20 inakwenda kwa nani, na inakwenda kufanya nini?
Inakwenda kwa anayedaiwa kutukanwa Rais wa TFF, Bwana Wallace Karia au inakwenda pale TFF
Au hii ni sehemu ya kitega uchumi cha TFF?View attachment 2298544
Kama mvua za masikaMMH AISEE, YATAPITA HAYA