Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

Tayari habari iko kila mahali juu ya maamuzi ya kamati ya maadili ya shirikisho la mpira wa miguu Tanzania kumfungia msemaji wa Yanga kujihusisha na soka ndani/nje ya nchi pamoja na FAINI YA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI 20

Nataka wanamichezo tujadili kidogo hapa, hii MILIONI 20 inakwenda kwa nani, na inakwenda kufanya nini?

Inakwenda kwa anayedaiwa kutukanwa Rais wa TFF, Bwana Wallace Karia au inakwenda pale TFF

Au hii ni sehemu ya kitega uchumi cha TFF?View attachment 2298544
Faini Ni moja pia ya vyanzo vya mapato vya TFF . Kwa hiyo nayo inaingia kwenye fuko lile lile.
 
Sijui walimwachaje alipowatuhumu Simba kutaka kuwadhuru wageni yaan pale wangemfungia maisha
 
Msemaji wa Yanga, Haji Manara amefungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh milioni 20

Manara amekumbwa na adhabu hiyo kutokana na sakata lake na Mwenyekiti wa TFF
View attachment 2298517
====

Kamati ya Maadili ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemfungia Msemaji Klabu ya Yanga, Haji Manara kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa muda wa miaka 2 na kupigwa faini ya Tsh. milioni 20

Amekutwa na hati kwa makosa ya kumvunjia heshima Rais wa TFF, Wallace Karia kwenye fainali ya ASFC kati ya Yanga na Coastal Jijini Arusha
View attachment 2298509
Wangetangaza Ijumaa kutoa muda mzuri kusheherekea weekend
 
SABABU YA MANARA KUFUNGIWA

Kamati ya maadili imetaja baadhi ya maneno ambayo Msemaji wa Yanga Haji Manara aliyazungumza mbele ya Rais wa Tff Wallace Karia.

“Wewe unanifatafata sana, hii ni mara ya tatu, sikuogopi kwa lolote,kwa chochote na huwezi kunifanya chochote. Nina uwezo wa kukufanya chochote na huna cha kunifanya.”

#yangasc #michezo #kingsfmradio #jisikiemfalme #hajisManara #Manara #sportsupdates #sportskachumbari #ligikuubara
 
Huyu Wallace Karia naye anajifanya kama mungu mtu pale TFF. Kila anayemkosoa basi lazima amshughulikie ipasavyo.

Halafu mtu mwenyewe kwanza siyo mzawa! Hajawahi kucheza mpira wa miguu ligi yoyote ile! I wish wachezaji wa zamani waangalie namna ya kuirudisha TFF mikononi mwao.
Hukumu hatoi Karia. Ila ukumbuke Haji ana vimeo vingi hapo TFF,alishaadhibiwa mara kadhaa akiwa Simba,kwa hiyo ni mkosaji mzoefu hoja ambayo inakuwa na mashiko kwenye kutoa hukumu. Lakini pia ni blessings in disguise,wamewaondoleeni hicho kirusi, ngoja akauze magodoro. Anarudishwa Nugaz.
 
Jamaa huwa anajifanya anajua kila kitu. Ana haki kumtukana kila mtu, ila yeye usimseme (yaliyomkuta Jerry Muro)
 
Tayari habari iko kila mahali juu ya maamuzi ya kamati ya maadili ya shirikisho la mpira wa miguu Tanzania kumfungia msemaji wa Yanga kujihusisha na soka ndani/nje ya nchi pamoja na FAINI YA SHILINGI ZA KITANZANIA MILIONI 20

Nataka wanamichezo tujadili kidogo hapa, hii MILIONI 20 inakwenda kwa nani, na inakwenda kufanya nini?

Inakwenda kwa anayedaiwa kutukanwa Rais wa TFF, Bwana Wallace Karia au inakwenda pale TFF

Au hii ni sehemu ya kitega uchumi cha TFF?View attachment 2298544
faini wanayopigwa vilabu na wachezaji huwa inaenda wapi,si inaenda huko huko TFF,sasa manara kumtukana Karia tena uwanjani ni kama kuitukana taasisi kabda ingekuwa nje ya kiwanja
 
Back
Top Bottom