Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

Mmeshindwa mchango wa buku buku huu wa M 20 mtaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Adhabu ndogo hiyo,ilitakiwa afungiwe maisha kujihusisha na football
 
Nakusaidia😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Kwa mashabiki wa Yanga wenye akili, hili jambo tumelipokea kwa furaha mno ila kwa mashabiki wa GSM yanga ni taarifa mbaya kwao. Manara alipokuwa Simba nilimuona hana weledi na hata kuja kwake Yanga kulinichukiza mno
Wapi ulionyeshwa kuchukiza kuja kwake? Mbona hujaonekana kujitenga na mihemko na kauli zake?

Labda shabiki ambaye alionyesha dhahiri kuwa hamkubali Manara ni Matola kwa hali zote..!
 
Nakusaidia😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁😁
 
Li bidi afungiwe miaka 10 na faini 100M mtu asie na maadili ya kazi lazima aadabishwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…