Plan Master
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,188
- 3,762
Mmeshindwa mchango wa buku buku huu wa M 20 mtawezaWanayanga tuungane tumlipie Manara hii faini aliyotozwa na TFF!
Manara amekuwa mtu mwenye mapenzi mema na timu yetu ametutetea sana, na hata hiki kifungo alichopata ni kwa sababu ya mapenzi yake mema na Club yetu!
Hivyo tupitishe bakuli ndani ya siku chache million 20 tunapata, inalipwa!
Wengine nadhani wana wazo la kukata rufaa, sishauri rufaa kwa sababu ni bora apumzike tu ili akitoka kwenye kifungo awe na adabu pia!
Ila wanayanga tumsuport kwa kumlipia faini kama kumuonyesha fadhila, na pia tuwaombe wanasimba waliokuwa wakimpenda watusaidie katika hili!
Nawasilisha!
Sent using Jamii Forums mobile app