Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hapo sasa watashindana kukata rufaa tyuuh.
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha ha

Kicheko cha Bumbuli chooni, polenii sana wanajangwani, kwa hiyo hatatambulisha wachezaji siku ya mwananchi?
huyu Chawa wa GSM ilikuwa lazima apasuke Bumbuli apate kufanya kazi bila shobo za jamaa.
 
Hii kamati mbona huwa inakuja na adhabu ambazo hazina lengo la kumfunza mtu bali kumkomoa. Kazi anayofanya ni kazi ya mkataba, unapomfungia means atatafutwa mbadala wake na atalipwa kiasi ambacho angelipwa anayetoka. Bado tena alipe milioni 20 kutoka wapi wakati mmemzuia asifanye kazi inayomuingizia kipato ? Huyu mtu pia ana watu wanaomtegemea, anaendeshaje maisha bila kazi ?
 
Lunyasi inahusika vipi hapa??? Pambaneni kivyenu.
Hatuhitaji mtuhusishe kwenye vagaa lenu.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wivu wa ukame wa makombe,pale mwituni Kwa Wana 🦁
 
Wivu wa ukame wa makombe,pale mwituni Kwa Wana [emoji881]
Haya kamsaidie Adhabu huko Takadini, usiniletee mie maumivu yako. Poleeeeeeh.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Habari nzuri sana hii, maana huyu jamaa alikuwa anajiona mkubwa sana kuliko hata taasisi za football
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…