Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

Mabingwa tunaenda kupindua meza kama kawa[emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeh kwa Maumivuuu.
Miaka 2 ya kuteseka na kuhaha, chunga usijiue tyuuh.
 
Msimlipie mpka awe mwekundu
 
Ngoja kwanza.. Kati ya Bumbuli na Manara nani afisa habari wa Yanga?
 
Haji Manara aliwaita kina Hersi akadhani watakuwa na msaada wowote akaenda mbali mpaka kutumia connection ya viongozi wa serikali watumie influece yao ku solve msala lakini haikusaidia

Hapo ndio nakumbuka verse ya dizasta

Hiyo itafanya ukonde na kuanza, kutumia pombe na ganja..../

Nayajua haya yote kwa maana ndo nilikotoka, utasimama kijasiri na mwisho utadondoka.../

Skiza wataleta daktari akuulize nini shida, hawata pata jawabu kabisa.../

Wataleta sheikh wataleta mchungaji wa kanisa, watasahau kuwa moyo uliovunjika hauna tiba.../
Your browser is not able to play this audio.
 
Baada ya wiki moja wanataengua adhabu hiyo baada ya Mhandisi kupenyeza rupia kwa watoa adhabu!!!
Hicho kifungo tu alichopewa kimepunguzwa na hiyo faini kubwa aliyopigwa. Ingekuwa faini Kama ile ya Dauda bila shaka angechezea sio chini ya miaka 5.
 
Sasa povu lote la nini mwana Lunyasi🦁.pata angalao gilasi ya maji urudishe maji yaliyopotea Kwa povu Hilo 🤸
Hamna povu lolote..ni vile hapo utopolon hamjui sheria za FIFA...sasa unaona ulichouliza hapo juu ni kitu anachouliza mtu anaejua mpira kwel?au tangazo hujalisoma umekimbilia tu ku comment?
 
Sisi makolo huyu hatumtaki, tuna concistence sio kama nyie
sisi utopolo kashatuita "hatuna akili eti baba yake na JK ndio wenye akili pekee hata utopoloni kwetu". Na sisi hatumtaki, kama gsm anampenda, akamuajiri ofisini kwake kuuza magodoro.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…