Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Ana mdomo mchafu huyu jamaaUnasemaje mwana[emoji881]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana mdomo mchafu huyu jamaaUnasemaje mwana[emoji881]
Kanajiropokea tu popote.Ahsanteeeeee!!!
Aiyaaa jaman huyu baba maneno mazito sana hayo amuheshimu hata kwa umri basi
Tofauti yao ndogo Sana ila Bumbuli "akili inaendesha mdomo" wakati Manara "Domo linaendesha akili"Bumbuli ni mtu wise sana huwezi kumuweka katika viwango sawa vya kibusara na manara
Kapoteza kibarua Yanga! Hiyo miaka miwili atakayekaimu Usemaji Yanga lazma achukue mikoba kimoja! Akacheze kibao kata K'koo...! Au ajaribu usemaji Bongoflava au Bongo movie!Sasa itakuwaje?
Arudi alikokulia akakuzwa na tabia mbaya...... Mikia wenu huyuManara kazaliwa Yanga bwana, mara hii unamkataa!?
Yeye mtu akimjibu,mara nyingi anatafuta sympathy kutokana na hali yake jambo ambalo si sawa,anawadhalilisha sana watu Kwa maneno yake ya shomboApart na Kuilalamikia Tifutifu Ila nae aacha Upuuzi Wa kupambana na Kila Mtu. Nidhamu na Heshima Kwa Wengine Manara Hana
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Wana take advantage ya ile hofu watu waliyonayo kwamba wakiwagusa Basi wataonekana wamewaonea (haijalishi Kama wao ndio wamezingua).Kwanni walemavu na watu wenye ubovu fulani hua ni wakorofi sana??
Wanasayansi inabidi wamfanyie utafiti HM.