Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

Haji Manara afungiwa kujihusisha na mpira ndani na nje ya nchi kwa Miaka 2. Atakiwa pia kulipa faini Tsh milioni 20

Mh
Screenshot_20220721-130221.jpg
 
Jemedari Said sahivi anapunga hewa kulee beach Kidimbwi[emoji23][emoji28]
 
Bumbuli ni mtu wise sana huwezi kumuweka katika viwango sawa vya kibusara na manara
Tofauti yao ndogo Sana ila Bumbuli "akili inaendesha mdomo" wakati Manara "Domo linaendesha akili"
 
Apart na Kuilalamikia Tifutifu Ila nae aacha Upuuzi Wa kupambana na Kila Mtu. Nidhamu na Heshima Kwa Wengine Manara Hana

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Yeye mtu akimjibu,mara nyingi anatafuta sympathy kutokana na hali yake jambo ambalo si sawa,anawadhalilisha sana watu Kwa maneno yake ya shombo
 
MAOMBI YA MKOPO HESLB, VYUO, NACTE, RITA

Kama una mtoto, ndugu, jamaa au wewe mwenyewe unajiandaa kujiunga na elimu ya chuo kikuu mwaka huu:

Karibu nikusaidie kwa huduma zifuatazo:

1.Uhakiki wa vyeti vya kuzaliwa, Rita

2. Kutuma maombi nafasi za masomo ya vyuo vikuu

3. Maombi ya mkopo, bodi ya mkopo elimu ya juu HESLB

4. Maombi NACTE

Piga namba hizi:0683992623
0628368636(ofisi)

Kwa wakazi wa Kitunda, Matembele, Banana na Fremu kumi tafadhali fika ofisini Fremu kumi Mwisho wa gari, kwa ushauri zaidi.

Ushauri ni bure, Piga nikupe mwongozo wa kielimu.
Tafadhali mfikishie muhusika(share).
 
Kwanni walemavu na watu wenye ubovu fulani hua ni wakorofi sana??
Wanasayansi inabidi wamfanyie utafiti HM.
Wana take advantage ya ile hofu watu waliyonayo kwamba wakiwagusa Basi wataonekana wamewaonea (haijalishi Kama wao ndio wamezingua).
 
Back
Top Bottom