ze-dudu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 17,640
- 22,748
Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga
======
Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku akitoa ahadi kushirikiana na yanga msimu mpya wa 2021/22 kuhakikisha Yanga inafikia malengo iliyojiwekea
"Nakwenda Yanga kwa sababu ina viongozi watakaonipa nafasi ya kuwasaidia, nilibanwa mno, nilidhihakiwa mno, sijawahi kuwa na matatizo na Simba.
“Baada ya kutangaza kuondoka Simba nilipokea ofa kutoka klabu nyingi, Yanga walivyonitafuta nilishangaa sana, nikawauliza malengo yao ni yapi, nimejiunga na klabu yenye mipango ya kushinda makombe,”
Pia, soma=> Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba