Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Wanaosikiliza uhai fm muda huu nugaz anatamba huko kuwa haji karudi kwao yanga
Pesa muhimu sana kwenye maisha ya binadamu..usimkatae mama,baba na watoto zako tu kwasababu ya pesa,ila wengine tupa kule chukua [emoji385]
 
Mpira ni biashara, Manara ni sehemu ya klabu kufanya brand ya biashara. Kwa sisi tunaojua soka la dunia ya sasa lilivyo hatushangai Manara kwenda Yanga.
 
 
Hakika ilani ya CCM inabamba kila kona na sasa Haji Manara amejiunga na timu iliyopigania uhuru wa Tanganyika Dar es salaam Young Africans!
 
IMG-20210824-WA0022.jpg
IMG-20210824-WA0021.jpg
 
Back
Top Bottom