Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga

======

Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku akitoa ahadi kushirikiana na yanga katimu msimu mpya wa 2021/22 kuhakikisha Yanga inafikia malengo iliyojiwekea

"Nakwenda Yanga kwa sababu ina viongozi watakaonipa nafasi ya kuwasaidia, nilibanwa mno, nilidhihakiwa mno, sijawahi kuwa na matatizo na Simba.

“Baada ya kutanga kuondoka Simba nilipokea ofa kutoka klabu nyingi, Yanga walivyonitafuta nilishangaa sana, nikawauliza malengo yao ni yapi, nimejiunga na klabu yenye mipango ya kushinda makombe,”
Wale chawa wake waliokuwa wanasema anaonewa pamoja na wachambuzi uchwara sijui wataficha wapi aibu zao
 
Hamna maajabu,ana haki ya kutafuta kazi popote pale kwenye riziki ya halali,tumtakie kila la kheri
Ana haki ndio hakuna anayemkataza ila undumilakuwili haukubaliki na boss yeyote yule na leo ame prove
 
Madam Super woman.......Very intelligent .....Very Genius

Madam wetu ana jicho la mbali sanaaaaaaaaaa.
Shadeeya
FB_IMG_1629823461954.jpeg
 
Haji Sunday Manara ni professional, ndo kazi yake ile ya usemaji inamfanya apate chakula, mavazi, Apeleke watoto shule, asaidie wazazi wake, kama kapoteza kazi kule simba, imebidi atafute kazi sehemu nyingine

Msiangalie mapenzi tu katika Club zenu za soka, angalia pia na maisha ya mfanyakazi kama Haji endapo akafukuzwa kazi katika timu yako.
 
Back
Top Bottom