Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,573
- 10,063
Mesi na Neymer mbona siwaelewi, likizo haiishiHii nchi ngumu sana, wacha tuteseke tuu na Man Utd na Arsenal zetu😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mesi na Neymer mbona siwaelewi, likizo haiishiHii nchi ngumu sana, wacha tuteseke tuu na Man Utd na Arsenal zetu😂😂
Kufanya kazi club nyingine hakuthibitishi usaliti wake, hata wachezaji huhama team, hata makocha pia huhama team, mbona ni jambo la kawaida tuu hilo.
Msaliti mkubwa huyu, waliokuwa wakimtetea leo wamemuone dhahiri anavyoonyesha usaliti wake.haya sasa tuliwaambia watu kua yule ni snitch mkabisha
Enhee yale manung'uniko yake kwenye zile clips akilia kua yeye ni simba damu na hanunuliki kwa thamani ya pesa yako wapi?
Messi atacheza mwisho wa mwezi huu, bila shaka itakua tarehe 29mess na neymer mbona siwaelew likizo haiish
Weekend hii watakuwa dimbani, hivyo ondoa shakamess na neymer mbona siwaelew likizo haiish
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] sasa kila siku atakuwa anazungumza mabaya ya viongozi wa simba .Uongozi wa simba huwa haufanyi jambo kwa kukurupuka. Usaliti wake umeonekana sasa
Au ujasusi wa simba wametuma mtu wao ?Kama kumbukumbu zangu vizuri, early to mid 90’s haji alikuwa anachezea yanga kids chini ya kocha Tostao!!!!!!’ hivyo sishangai mtu huyu kurudi nyumbani
Hii nchi ngumu sana, wacha tuteseke tuu na Man Utd na Arsenal zetu😂😂