Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini sio shabiki.Kufanya kazi club nyingine hakuthibitishi usaliti wake, hata wachezaji huhama team, hata makocha pia huhama team, mbona ni jambo la kawaida tuu hilo.
Nakubaliana na wewe,ushabiki wa team hauwezi kubadilika,huwezi kuhama team,But Manara anaweza kufanya kazi Yanga ila mapenzi yake yakawa kwa Simba,yeye ndiye anajua siri yake ya ndani.Lakini sio shabiki.
Shabiki ndie mwenye timu, Shabiki haami timu, sababu mapenzi ya timu ya mpira ni tofauti na mapenzi ya chama cha siasa.
Vichekesho aina hiyo Dunia mzima vinapatikana Bongo tu.
Manara ni mkubwa kuliko Yanga.
Yanga ni ndogo Manara ni mkubwa.
Kumbe ndo maana alitaka kuvuruga Simba ndo aondoke akashtukiwa.Nenda Manara, nenda Manara, Nenda Simba wapumueWanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga
======
Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku akitoa ahadi kushirikiana na yanga msimu mpya wa 2021/22 kuhakikisha Yanga inafikia malengo iliyojiwekea
"Nakwenda Yanga kwa sababu ina viongozi watakaonipa nafasi ya kuwasaidia, nilibanwa mno, nilidhihakiwa mno, sijawahi kuwa na matatizo na Simba.
“Baada ya kutangaza kuondoka Simba nilipokea ofa kutoka klabu nyingi, Yanga walivyonitafuta nilishangaa sana, nikawauliza malengo yao ni yapi, nimejiunga na klabu yenye mipango ya kushinda makombe,”
Pia, soma=> Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba
View attachment 1907058
Wee vipi?Kazi ni kazi,mbona wachezaji,makocha,viongozi wanajiunga na vilabu vingine?Ulitaka afukuzwe halafu akae tu?Msaliti mkubwa huyu, waliokuwa wakimtetea leo wamemuone dhahiri anavyoonyesha usaliti wake.
Njaa mbaya sanaOfcoz alikuwa hana option achaneni na kitu kinaitwa NJAA nduguzangu hao pia atagombana nao then atasema anarudi ulipo moyo wake.
Kiazi huyuHii nchi hii [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 1908123