Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,219
- 4,608
Babu Mpili na Manara Sasa kupikika jungu moja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wataharibu script.Mbona kawaida. Kawaambia leo hakuna maswali. Ni taarifa tu...
.Vipi mkuu,, umeaminiii?[emoji38][emoji38]
Mzimu wa Kolelo
Ha ha haManara na Kigogo2014 walivyobadilika huwezi amini😂😂😂
Mnaye huyo[emoji23]Sijapenda aah angebaki kule kule alipo
Kasema Manara siyo mimiWe Jaluo hilo povu lote la nini ikiwa Manara hakuhusu? pilipili usiyoila yakuwashia nini kama si kuchomwa kisu kwenye mfupa ni nini hasa?
nilidhihakiwa mno, sijawahi kuwa na matatizo na Simba.
Huu ujinga tulio ufanya Yanga utatugharim sana Yanga,kwani huwezi mwajiri mtu anayeshindwa kuhifadhi siri za taasisi aliyo ifanyia kazi kwani kaeni mkijua kila taasisi ina udhaifu wake.Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga
======
Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku akitoa ahadi kushirikiana na yanga msimu mpya wa 2021/22 kuhakikisha Yanga inafikia malengo iliyojiwekea
"Nakwenda Yanga kwa sababu ina viongozi watakaonipa nafasi ya kuwasaidia, nilibanwa mno, nilidhihakiwa mno, sijawahi kuwa na matatizo na Simba.
“Baada ya kutanga kuondoka Simba nilipokea ofa kutoka klabu nyingi, Yanga walivyonitafuta nilishangaa sana, nikawauliza malengo yao ni yapi, nimejiunga na klabu yenye mipango ya kushinda makombe,”
Pia, soma=> Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba
View attachment 1906602
Uliyeumia labda ni Wewe tu na Wapuuzi Wenzako huko Yanga SC kwani wenye Akili Kubwa na zilizobarikiwa na Mwenyezi Mungu tulishamshtukia na kumkataa Kitambo sana Haji Manara na ndiyo maana alipoondolewa tulifurahi na Kuushukuru Uongozi.Naona baada ya kishindo cha jana wengi mnaandika na comments za hasira na chuki mbaya jamani haya ni maisha na tukumbuke waswahili walisema leo kwangu kesho kwako na kutesa kwazamu
Nawashauri hebu tulieni tungojee hiyo surprise ya mwisho hapo jumapili hapo ndio turudi ubaoni kuchambua
Hebu kuweni watulivu simnajua ndio wakati sasa mnaanza kupitia kipindi kigumu.
Ndio. Kila kitu kinapangwa tambua hilo. Hata wewe kuamka asubuhi kwenda kazini mtu kakupangia. Kupiga mswaki umepangiwa....Wataharibu script.
Wataharibu stori ya leo ya utambulisho wa jezi mpyacheki jamaa alivo kataa kuulizwa maswali kua wandishi wataharibu story(mipango yao) izi huja za haji hazita fika popote anazidi kuumbuka
Umenena vemaMuacheni afanye yake ,Msemaji ni kazi ,kwahiyo ana haki kufanya kazi sehemu yeyote ,wakati alipokuwa simba ulitaka aisifie yanga? Yaani kwamfano wewe unafanya kazi Serengeti then usifie windhoek? Unafanya kazi bongo records kisha usifie mj records au tongwe? unafanya kazi tigo uje kusifia voda? Unafanya kazi Crdb uje kusifia nmb?
Nimeamini njaa haina baunsa mkuuHata wiki mbili hazijaisha tayari kashaonyesha ujinga wake.
Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga
======
Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku akitoa ahadi kushirikiana na yanga msimu mpya wa 2021/22 kuhakikisha Yanga inafikia malengo iliyojiwekea
"Nakwenda Yanga kwa sababu ina viongozi watakaonipa nafasi ya kuwasaidia, nilibanwa mno, nilidhihakiwa mno, sijawahi kuwa na matatizo na Simba.
“Baada ya kutangaza kuondoka Simba nilipokea ofa kutoka klabu nyingi, Yanga walivyonitafuta nilishangaa sana, nikawauliza malengo yao ni yapi, nimejiunga na klabu yenye mipango ya kushinda makombe,”
Pia, soma=> Haji Manara apigwa chini idara ya habari Simba
View attachment 1907058