Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Haji Manara ahamia Yanga SC yeye na familia yake

Nyumba yake au aliyokuwa anapanga amemuachia nani na kwanini na ili apate nini na amekosa nini? Je huu ni umalaya kimichezo na misimamo au uchumia tumbo?
 
Kufanya kazi club nyingine hakuthibitishi usaliti wake, hata wachezaji huhama team, hata makocha pia huhama team, mbona ni jambo la kawaida tuu hilo.
Jamaa wana mitazamo ya kishamba sana!!yale ya kina Ngasa kipindi kile anataka kusajiriwa sudan kwa pesa nyingi anakataa eti ana mahaba na yanga, mwisho wa siku yuko wapi?!!usemaji ni taaluma tu kama kazi nyingine wala hakuna kitu cha ajabu hapo.
 
Wanaosikiliza Uhai FM muda huu, Nugaz anatamba huko kuwa Haji karudi kwao Yanga

======

Aliyekuwa Afisa Habari wa klabu ya Simba, Haji Manara leo Agosti 24, 2021 amejiunga na klabu ya Yanga huku akitoa ahadi kushirikiana na yanga msimu mpya wa 2021/22 kuhakikisha Yanga inafikia malengo iliyojiwekea...
Usemaji ni kazi
 
cheki jamaa alivo kataa kuulizwa maswali kua wandishi wataharibu story(mipango yao) izi huja za haji hazita fika popote anazidi kuumbuka
 
Hamna maajabu, ana haki ya kutafuta kazi popote pale kwenye riziki ya halali, tumtakie kila la kheri
Kufanya kazi sio shida mkuu. Angebaki na unazi wake wa Simba pale angeenda kupiga kazi.

Shida kazi ya manara ni lazima uwe shabiki.
 
Mpira ni biashara, Manara ni sehemu ya klabu kufanya brand ya biashara. Kwa sisi tunaojua soka la dunia ya sasa lilivyo hatushangai Manara kwenda Yanga.
Kweli kabisa, Manara ni brand kubwa kuliko yanga. Ndiyo maana anaenda kuifanya yanga kuwa kubwa na kuchukua makombe.
 
Ilikua lazima afanye hivyo laa sivyo alikua akimbiwe na mke au aolewe!!! Usicheze na njaa
 
Back
Top Bottom