Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawakujipanga vizuri, matokeo yake, kipande hicho cha kutoruhusu maswali, walikisahau!Wataharibu script.
Huyu senzo sialikuwa simba huyu?Mshauri Mkuu wa Yanga Senzo muda huu amemtambulisha rasmi Haji Manara kuwa karudi Yanga
Habari zaidi kufuata
Naona baada ya kishindo cha jana wengi mnaandika na comments za hasira na chuki mbaya jamani haya ni maisha na tukumbuke waswahili walisema leo kwangu kesho kwako na kutesa kwazamu....
NdiyoHuyu senzo sialikuwa simba huyu?
Usiishi kwa kukaririHuu ujinga tulio ufanya Yanga utatugharim sana Yanga,kwani huwezi mwajiri mtu anayeshindwa kuhifadhi siri za taasisi aliyo ifanyia kazi kwani kaeni mkijua kila taasisi ina udhaifu wake.
Najua tulifurahia sana alivyo wavua nguo Simba so kwa ujinga huu tulio ufanya kesho tujiandae na sisi kuvuliwa nguo.
Huo ndio ukweli wenyewe sasa utachagua,uwe utamu kuutema au uchungu kuumeza.Usiishi kwa kukariri
Manara hajanunulika kaenda pale kufanya kazi,hivi mlitaka Manara hahanze kuzurula barabarani akiombaomba , wakati anaprofessional yake,mwache Manara afanye kazi,ingawa adui yako upenda kuona upande wa adui yako upenda kuona adui akiadhirikaSawa hatumzuii kutafuta riziki, ila kwa staili ya undumilakuwili sidhani kama kuna mwajiri ambaye anaweza kuivumilia eti kwakua anatafuta mkate
Kingine nikutokana na maneno yake mwenyewe kua yeye ni simba damu na hanunuliki kwa thamani ya pesa, lakini leo???
Manara yupo kwaajili ya branding and marketing ya team mkuu.Yani kuongea kwa Manara kunafanya team ichukue kombe,bila kuwekeza na usajili wa wachezaji Bora?
Kwani yale manung'uniko uliyaamin mkuu?haya sasa tuliwaambia watu kua yule ni snitch mkabisha
Enhee yale manung'uniko yake kwenye zile clips akilia kua yeye ni simba damu na hanunuliki kwa thamani ya pesa yako wapi?
Hivi nini tafsiri ya neno "Professional" kama ulivyolitumia kwenye hii sentensi yakoManara hajanunulika kaenda pale kufanya kazi,hivi mlitaka Manara hahanze kuzurula barabarani akiombaomba , wakati anaprofessional yake,mwache Manara afanye kazi,ingawa adui yako upenda kuona upande wa adui yako upenda kuona adui akiadhirika
Au utasikia Mtu Mwenyewe ana kiba100, kumbe demu ana "bwawa"Mungu anamuona Manara na dhambi yake ya unafiki hii ni type ya wale wanawake ambao akiachika tu utasikia ooh mwanaume mwenyewe nilikuwa simpendi
Aliondoka liniMshauri Mkuu wa Yanga Senzo muda huu amemtambulisha rasmi Haji Manara kuwa karudi Yanga
Habari zaidi kufuata
Babra ni TISSInteligensia ya simba ni kubwa sana asee, kumbe tungekuwa zaidi ya hapa